Hivi kuoga ni lazima ujisugue na madodoki ? au ni kwasisi maskini tu na wazee wa kazi ngumu

Hivi kuoga ni lazima ujisugue na madodoki ? au ni kwasisi maskini tu na wazee wa kazi ngumu

Haa nilipo lita ya maziwa ni 1000 sasa nikitafuta lita 50 si zinatosha kabisa, shida ni je nitajikaushaje baada ya kuoga au kuna kujisuuza na maji tena?
Hapana.Kunakuwa na vijakazi wanakukausha siyo kukusugua na taulo hadi upauke tena.Just doing some dabbings to you.Maji ni kwa ajili ya mdomo na mswaki tu.Afresh!
 
Tangu nimebalehe, Najisugua kwa kutumia Lesso, Yes Kitambaa cha Lesso. Cha ajabu Mademu zangu hua wananishangaa na kushinda kuninunulia vi Lesso vyao vya gloves ambavyo sijawai tumia 😀
 
Back
Top Bottom