Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
hapo umenyeshewa na mvua ndugu hujaogaMimi natumia sabuni na mikono sina dodoki wala nini......
zaidi sana utasikia unatumia nn ? Mbn una ngozi nzuri, Ila ni kawaida tuu wazee secretarybird najua dodoki hukosi
Mwanaume unaanzia wapi kuogea hizi vitu?View attachment 3178641
View attachment 3178642
Hizi sabuni ni nzurii sanaa ambae hajawai kuzitumia aanze kuzitumia..
Sijaoga kivipi ?hapo umenyeshewa na mvua ndugu hujaoga
Ungeelezea uzuri wake mkuu.View attachment 3178641
View attachment 3178642
Hizi sabuni ni nzurii sanaa ambae hajawai kuzitumia aanze kuzitumia..
Dodoki ni jadi yangu mkuu, nimeshaizoea.Mimi natumia sabuni na mikono sina dodoki wala nini......
zaidi sana utasikia unatumia nn ? Mbn una ngozi nzuri, Ila ni kawaida tuu wazee secretarybird najua dodoki hukosi
Ni nzurii kuogea Zina rich of vitamin..unaoga unatakata na ngozi inakua muruaaNaomba unipe maelekezo boss zipoje
Hujawai ona watu Wana ngozi nzurii wanaogea sabuni Kama hizi..kwa ngozi yenye afya ogea hizi shower to shower gelUngeelezea uzuri wake mkuu.
Huko ni kuoga kweli?! ni joke🤣Mwanaume unaanzia wapi kuogea hizi vitu?
Mwanaume wa kweli menu hutumia mkaa, na kuoga hutumia udongo wa mfinyanzi, magome ya miti au majivu
Ingekuaga hivyo watu wangekua wote wameisha duniani.Carcinogenic
Umenikumbusha mpangaji mmoja bonge bonge hivi huyu jamaa alikua akienda kuoga.Kitaalam mtu kuoga ni dakika 4 tu labda kama uwe na manyoya kama simba
Mimdeset ya kuhisi mchafu au ananuka mtu siamini anaweza kufikia uchafu wa kuoga saa nzima. Ni kupoteza MudaUmenikumbusha mpangaji mmoja bonge bonge hivi huyu jamaa alikua akienda kuoga.
Unaweza zania akifika bafuni anavua NGOZI NA KUANZA KUIOSHAA..KWAKU IKUNG'UTA NA KUIKAUSHA NA KUIVAA TENAA MAANA ALIKUA ANATUMIA MUDA MWINGI MPAKA KERO
Mimi mwenyewe kuoga ni chap haizid DAKIKA 5.Mimdeset ya kuhisi mchafu au ananuka mtu siamini anaweza kufikia uchafu wa kuoga saa nzima. Ni kupoteza Muda
Men I like the na me "cuzzi"PEOPLE WITH MONEY TAKE A SHOWER , HAWAKOGI 🤣 SOMETIMES THEY JUST DIP THEIR BODIES IN THE CUZZI AND RELAX WITH SOME VINE
Hii ndio recommend kitalalam.Mimi mwenyewe kuoga ni chap haizid DAKIKA 5.
I love art. Playing with words is a fun game. Try creativity mannnnnnnnnnnnnnnnnn. ThanksMen I like the na me "cuzzi"
Inashangaza mtu kuingia bafuni kuoga muda mrefu sijui huwaga wanafanyaga Nini bafuni muda wotee huo...Hii ndio recommend kitalalam.
Wanasafishaga Na UtumboInashangaza mtu kuingia bafuni kuoga muda mrefu sijui huwaga wanafanyaga Nini bafuni muda wotee huo...