Hivi kuoga ni lazima ujisugue na madodoki ? au ni kwasisi maskini tu na wazee wa kazi ngumu

Hivi kuoga ni lazima ujisugue na madodoki ? au ni kwasisi maskini tu na wazee wa kazi ngumu

hapo umenyeshewa na mvua ndugu hujaoga
Sijaoga kivipi ?

Najimwagia maji mwili mzima.....

Then naosha kichwa kama dakika tano hivi nina nywele nyingi...

Najipaka sabuni.....

Najimwagia maji... Povu linakuwa jingi

naanza kujisugua kwa mikono yangu vzr

Najimwagia Tena maji......

Napiga sabuni nyepesi nafanya kma mwanzoni......

Najisuuza mwili mzima.....

Nachukua taulo najifuta maji.....

Dodoki siwezi tumia labda zile za mfuko Ila hizi za kuuzwa aseeh kujikuna siwezi!
 
Naomba unipe maelekezo boss zipoje
Ni nzurii kuogea Zina rich of vitamin..unaoga unatakata na ngozi inakua muruaa

Ni nzurii zitafute utazipata pharmacy au maduka ya cosmetics Zina range bei 7500 mpaka 10000

Unaweka kwenye dodoki au mtego ama kujipaka zeni una jimwagia maji au una fungulia bomba la mvuaa
 
Kitaalam mtu kuoga ni dakika 4 tu labda kama uwe na manyoya kama simba
Umenikumbusha mpangaji mmoja bonge bonge hivi huyu jamaa alikua akienda kuoga.

Unaweza zania akifika bafuni anavua NGOZI NA KUANZA KUIOSHAA..KWAKU IKUNG'UTA NA KUIKAUSHA NA KUIVAA TENAA MAANA ALIKUA ANATUMIA MUDA MWINGI MPAKA KERO
 
Mimdeset ya kuhisi mchafu au ananuka mtu siamini anaweza kufikia uchafu wa kuoga saa nzima. Ni kupoteza Muda
 
Back
Top Bottom