Hivi kuoga ni lazima ujisugue na madodoki ? au ni kwasisi maskini tu na wazee wa kazi ngumu

Sijui kwanini biblia inasema kuoga kwa maji sasa huwa najiuliza hivi kuna kuoga kuoga bila kutumia maji?
Hizo ni kauli kwenye lugha na zina maana sana japo nyingine hazina

Kwa mfano kwenye uislamu ukisema kuoga kwa maji inamaanisha hivyo hivyo kutumia maji na ndiko kuoga hasa kunakotambulika lakini ukisema kuoga tu basi mtu aweza kuoga maji ya marashi, maji yenye iliki, maji yenye vipodozi, maji ya tamu, maziwa, wine, maji ya... nk na kuoga huku hakukubaliki.

Lakini huku nilipo wanatumia kauli "kujamba mavi", "kukojoa mkojo", "kuchepuka mkojo", nk. Nilifuatilia kwanini nikagundua kuna kokojoa manii, kuchepuka njia, kuchepuka kingono nk na ndiyo maana wanajaribu kutofautisha japo maneno mengine hayana maana
 
kwenye gari ac, ofcn ac, nyumban ac, nguo hawarudii, hayo majasho ya kutengeneza uchafu yanatoka wap
Hhmmm...nilikuwa sijui mkuu..lakini Sasa kukaa bila kuoga si mwili unadhoofu,ndiyo maana wanasema maji ni dawa🙂
 
Hhmmm...nilikuwa sijui mkuu..lakini Sasa kukaa bila kuoga si mwili unadhoofu,ndiyo maana wanasema maji ni dawa
wanaoga mkuu, sema hawatumii midodoki kama siye kajamba nani.
 
bado bila dodoki umenyeshewa na mvua ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…