Tupo kwenye tafiti mkuu,Hivi hakuna dawa ya kumeza ambayo ni mbadala wa kuoga?
Hold on please.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo kwenye tafiti mkuu,Hivi hakuna dawa ya kumeza ambayo ni mbadala wa kuoga?
Hizo ni kauli kwenye lugha na zina maana sana japo nyingine hazinaSijui kwanini biblia inasema kuoga kwa maji sasa huwa najiuliza hivi kuna kuoga kuoga bila kutumia maji?
😁😁😁😁 upo wap now
Simba gani daimond au ?Kitaalam mtu kuoga ni dakika 4 tu labda kama uwe na manyoya kama simba
kwenye gari ac, ofcn ac, nyumban ac, nguo hawarudii, hayo majasho ya kutengeneza uchafu yanatoka wapHeee...kwahiyo pesa zinaondoa hadi uchafu mwilini nyiee...
HIvi kuoga si inahusisha kuvua nguo zote na kubaki uchi kama ulivyozaliwa?Mtu yeyote asiye oga huyo ni mchafu wa mwili na akili
Hhmmm...nilikuwa sijui mkuu..lakini Sasa kukaa bila kuoga si mwili unadhoofu,ndiyo maana wanasema maji ni dawa🙂kwenye gari ac, ofcn ac, nyumban ac, nguo hawarudii, hayo majasho ya kutengeneza uchafu yanatoka wap
Ohooo kumbe huna khabari, wacha nikuhabarishe sheikhNikajua mchanga ni kuchukulia uzu tu
wanaoga mkuu, sema hawatumii midodoki kama siye kajamba nani.Hhmmm...nilikuwa sijui mkuu..lakini Sasa kukaa bila kuoga si mwili unadhoofu,ndiyo maana wanasema maji ni dawa
bado bila dodoki umenyeshewa na mvua nduguSijaoga kivipi ?
Najimwagia maji mwili mzima.....
Then naosha kichwa kama dakika tano hivi nina nywele nyingi...
Najipaka sabuni.....
Najimwagia maji... Povu linakuwa jingi
naanza kujisugua kwa mikono yangu vzr
Najimwagia Tena maji......
Napiga sabuni nyepesi nafanya kma mwanzoni......
Najisuuza mwili mzima.....
Nachukua taulo najifuta maji.....
Dodoki siwezi tumia labda zile za mfuko Ila hizi za kuuzwa aseeh kujikuna siwezi!
Hapana kikubwa sinuki jasho kwa wakati huo nakuwa comfortable...bado bila dodoki umenyeshewa na mvua ndugu
au ni sawa na kupiga mswaki na kidoleHapana kikubwa sinuki jasho kwa wakati huo nakuwa comfortable...
Nakubaliana na mawazo yako dr
Mswaki Kuna kijiti au hii artificial, .....au ni sawa na kupiga mswaki na kidole