Hivi kuoga ni lazima ujisugue na madodoki ? au ni kwasisi maskini tu na wazee wa kazi ngumu

Hivi kuoga ni lazima ujisugue na madodoki ? au ni kwasisi maskini tu na wazee wa kazi ngumu

Ni nzurii kuogea Zina rich of vitamin..unaoga unatakata na ngozi inakua muruaa

Ni nzurii zitafute utazipata pharmacy au maduka ya cosmetics Zina range bei 7500 mpaka 10000

Unaweka kwenye dodoki au mtego ama kujipaka zeni una jimwagia maji au una fungulia bomba la mvuaa
Ok ntajaribu kuzifuatilia,,
 
Tusipangiane maisha kila mutu aoge atakavyo cha.msingi maji yaguse tu mwili
 
Sio lazima wala sio muhimu sana japo inategemea na sabuni unayotumia, mara ngapi unaoga kwa siku, kazi unazofanya kwa siku na hali ya maji unayoogea. Pia kuna kingine aina ya ngozi uliyonayo, aina ya mafuta unayopaka mwili, aina ya marashi unayotumia na msosi unaokula mara kwa mara.

Yote haya ni muhimu kuzingatia
Labda niongeze

Na Ofisi unayofanyia kazi.
 
Back
Top Bottom