Hivi kuongezeka kwa deni la taifa kuna athari kwa nchi au wananchi?

Hivi kuongezeka kwa deni la taifa kuna athari kwa nchi au wananchi?

ably_yba

New Member
Joined
Nov 20, 2023
Posts
1
Reaction score
1
Naomba ufafanuzi juu ya hili swala la deni la taifa.

Hivi kuongezeka kwa deni la taifa Kuna athari kwa nchi au wananchi?
 
Kubwa sana. Mapato mengi ya serikali hususani yale ya kigeni yatakuwa yanatumika kuhudumia deni.

Mwisho wa siku kutakuwa na uhaba wa fedha za kigeni na hivyo kuleta ugumu wa kuagiza bidhaa zinazotoka nje ya nchi kama vile mafuta.

Hii pia inapelekea thamani ya shilingi kuporomoka na kupelekea mfumuko wa bei.
 
Haya ndio mambo napenda kuona.

PambanaZaidi/CottonandMore
 
Back
Top Bottom