Hivi kupenda ndo kukoje?I think i have never loved..

The Dude

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
1,029
Reaction score
459
Habari za siku wadau,

Nimekuwa nkijiuliza whether i am emotional insensitive ama kuna watu waliumbwa kutokupenda..

Naomba nsieleweke vibaya but sijawahi kupenda nadhani. I‘ve had girlfriends from as long ago as when i felt i needed to have sex. I have a girlfriend for three years now but i think the only reason i‘m with her is because everyone else has a partner so it‘d be odd..and because i need someone to have sex with.

Kuna mmoja kati ya ex-girlfriends aliwahi kuniambia "you are emotionaly insensitive creature". Mwingine alisema "you don‘t know what it is to love somebody, you never have loved anyone and you never will".

Huyu wa sasa kasema "i knw you are with me out of convenience"..

Naona watu wengi ni washairi kuhusu mapenzi ooh ukipenda u become crazy, mara love is that special feeling etc mimi sijawahi kuwa crazy na sioni tafauti other than the fact girls can meet my sexual needs..

Na huwa sifeel chochote hata kumuwaza huyo binti simuwazi mpaka nkiskia namuhitaji kitandani..at some point, hata aki-act weird mi i don‘t react anyhow..na huwa naulizwa are u never jealous or angry no matter what i do?

Is this normal jamani?
 
huwezi jilazimisha hadi upende, hauuamuru moyo.

Siku ukiona unaanza kutetea tu kwa msichana ujue ushapenda.

Pole lakini, maana kupenda raha kama unamiliki nusu ya dunia na vilivyomo lol
 
huwezi jilazimisha hadi upende, hauuamuru moyo.

Siku ukiona unaanza kutetea tu kwa msichana ujue ushapenda.

Pole lakini, maana kupenda raha kama unamiliki nusu ya dunia na vilivyomo lol

Hiyo raha ndo ikoje?Mbona mi siipati?What does it take kuipata?
 
Mr.loves inakuja automatically,na kufanya SEX cyo kumpenda mtu,unaweza ukafanya sex kupunguza hisia tu.au kuburudisha mwili.Jiulize wadada wanaojiuza,mtu akija kumnunua ni kwamba anampenda?.la hasha.bali anatafuta pesa,na kijana mnunuzi anatafuta wa kupunguzia hamu.
HERE IT KAMS:WHEN YOU LOVE SOMEONE,IN A REAL CONDITION:
1.listern to your heart,do u realy feel her?Unampenda au kakupenda?.very important question.Unajiforce kumuonea huruma ama?.
2.Do you real Miss her wen she iz far away,or a moment after charting with her all the time?.
3.Do you wish her to be your wife?.VERY IMPORTANT QUESTION.
4.Do you love her willingly,not by force that ur friend has girlfnd,and u shuld have too,not becoz u have not found da one.
5.Is she always in your mind?..
6.Is she the only gal you fil to be with,evn if u see other gals,wen u compare her & da rest u find tht ur gal is the best in al sectors?.
7.Do you real enjoy wen ur in bed with her?.
 
Ask this,u wil know,wat love is!
 
Huwezi kuwa a senseless creature,lazima kutakuwa na sababu behind hayo yoote...kuna kitu fulan umeshawah kuki experience aidha kwa kukisikia au kwakuona ndicho kinachopelekea kuwa hivyo.
Otherwise,kupenda na kupendwa kote raaahaaa..saanaa!
 
kama huna uwezo wa kupenda poa tu na komaa hivyohivyo..... mapenzi yenyewe yameshabaki usanii mtupu
 
It is not normal, ila nakutamani! I wish ningekuwa kama wewe; kupenda ni mateso lkn, basi tu!

Kumuhitaji mtu ambaye huna uhakika kama naye anakuhitaji!
Kumuwazia mtu ambaye huna uhakika kama anakufikiria.

Ila kama feelings ni mutual, love is the most beautiful thing in the world! So kwa upande huu una miss a lot!
 
Nenda hospitali kapime kitu kinaitwa Neurotrophins level (NTS)- ambayo inajumuisha plasma levels (NGF, BDNF, NT-3 and NT-4). Inasadikika ndio kemikali za romantic love [Emanuele et al. 2005]. Halafu utupe majibu.
 
Dah poor me!!
 
Duuhh hospitali gani wanapima hivyo?Na nkikuta sina ndo napewa tiba gani?
 
Kama nlivosema nadhani maswali yote siwezi kuyajibu in affirmative..hasa ilo swali la kuwa mke wangu,hata sjawahi kufkiria kuoa,achilia mbali hata kufkiria kama ntamwoa yeye..
 
huyo msichana uliyenae akikuacha utajua maana ya kupenda....
 
Duuhh hospitali gani wanapima hivyo?Na nkikuta sina ndo napewa tiba gani?

Mkuu sina utaalam wa tiba lakini ukienda muhimbili kuulizia utapata chochote kitu. Ila kama mwenza anakuelewa mkuu ya nini uhangaike? Labda kacheki tu ujue kama ndio sababu au la.
 
Hata kama demu wangu akiiona hi reply poa tuu but mm nami ni sehemu ya watu ambao hatujui kabisa maana ya kupenda.sikuwahi kupenda,frankly speaking
 
Hata kama demu wangu akiiona hi reply poa tuu but mm nami ni sehemu ya watu ambao hatujui kabisa maana ya kupenda.sikuwahi kupenda,frankly speaking

Hhehe pole,inaoneka tuna share problem..so we umefanyaje kujitibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…