Hivi kupenda ndo kukoje?I think i have never loved..

Hivi kupenda ndo kukoje?I think i have never loved..

Ukibahatika kuyapata mapenzi ya kweli basi huwa unasikia raha ya ajabu kila saa umejawa na furaha isiyo na kifani. Nasema ukibahatika maana siku hizi wasanii wa mapenzi wamekuwa wengi mno!!!! utawasikia wenyewe nampenda yule kwa 55% au 60% mie najua mapenzi ukimpenda mtu unampenda 100% hata kama ana chongo utadai si chongo bali kengeza.

Last edited by a moderator:
Aiseee hauko normal at all au labda muda wako wa kupenda haujafika..haya mambo hua yanatokea automaticaly unajisikia kumuhitaji mtu kuliko kitu kingine chochote..na ukimpata anayejua kupenda basi unaona kama dunia yote ipo kiganjani pako..
 
kama nlivosema nadhani maswali yote siwezi kuyajibu in affirmative..hasa ilo swali la kuwa mke wangu,hata sjawahi kufkiria kuoa,achilia mbali hata kufkiria kama ntamwoa yeye..

this is called abdormality.go and see doctors.
 
kila siku huwa nawauliza watu humu ndani, 'can somebody plizzzz explain to me what love is??? sijawahi kupata majibu, at least leo nimefurahia comments, nimepata mwanga! Mtundu Kisu hebu jaribu kuongea na Smile na ye keshatendwa huko nyuma hana hamu, labda mkiunganika u can create something new and very special!
 
Last edited by a moderator:
kwa upande wangu, hii kitu inayoitwa mapenzi inategemea mtazamo wa mhusika mwenyewe ukiambatana na msimamo wenye sababu mahususi zinazokufanya kuyaita kama unavyoona inafaa. Wewe unaona sio normal kwa ku refer jamii furani unayojilinganisha lakini kuna wengine wanafanya hata zaidi ya yakwako still they call it love. Tatizo hapa ni kuto ku meet expectations za wasichana uliokutana nao na we kukili kutokuwa na msukumo. Tofauti na wengene wanaofanya mda mwingine purposely lakini wanakataa eti kwa jina la mapenzi. To me I take love as personal perseption.
 
U may be having a point
 
dah utakuwa hauna hormone ya tetosterone ya kutosha ila duh unamis v2 unajua ukipenda moyo unakuwa katika excited state yani higher energy level
 
Back
Top Bottom