BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Ukibahatika kuyapata mapenzi ya kweli basi huwa unasikia raha ya ajabu kila saa umejawa na furaha isiyo na kifani. Nasema ukibahatika maana siku hizi wasanii wa mapenzi wamekuwa wengi mno!!!! utawasikia wenyewe nampenda yule kwa 55% au 60% mie najua mapenzi ukimpenda mtu unampenda 100% hata kama ana chongo utadai si chongo bali kengeza.
Last edited by a moderator: