Hivi kupiga push up kunachukua muda gani ili misuli ya kifua na mikono itanuke??
Ya mapaja inakuaje hapo?Ukitaka upendeze piga push -up na pia jenga misuli ya mapaja. Lasivyo umbo lako litakuwa juu umepanuka na chini mwembamba.
Mazoezi ya kukimbia, kupanda ngazi na kushuka, kuchutama na kuinuka huku mikono umenyoosha mbele au umeshika kichwa, kuigiza kama umekaa kwenye kiti na mikono umenyoosha mbele. Hayo kwa uchache.Ya mapaja inakuaje hapo?
AhsanteMazoezi ya kukimbia, kupanda ngazi na kushuka, kuchutama na kuinuka huku mikono umenyoosha mbele au umeshika kichwa, kuigiza kama umekaa kwenye kiti na mikono umenyoosha mbele. Hayo kwa uchache.
na chips dume a.k.a mihogo.Chaa ajabu unakuta
Anashindia chips yai
Af ucku analalia
Mchele na anataka kutanua
Kifua