Hivi kupiga push up kunachukua muda gani ili misuli ya kifua na mikono itanuke?

Hivi kupiga push up kunachukua muda gani ili misuli ya kifua na mikono itanuke?

Hivi kupiga push up kunachukua muda gani ili misuli ya kifua na mikono itanuke??
images.jpg

Ningemuweka na yule baba, lakini ninaogopa nitashtakiwa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
unapopiga hizo push up kumbuka na kupata muda mwingi wa kupumzika,kunywa maji mengi na kula chakula bora hasa mboga mboga utakata fastaaa,kuna mabaunsa wako mtaani huku wamekata kimtindo lakini unaona kabisa wanalazimisha maana wana bumps kwenye mashavu,mabegani unaweza weka hata lita moja ya maji,yaani unaona kabisa hawa jamaa wanalazimisha,
Sikukatishi tamaa mkuu hizo ni baadhi tuu ya tips nakupatia zinaweza kukusaidia
 
Mazoezi ya kukimbia, kupanda ngazi na kushuka, kuchutama na kuinuka huku mikono umenyoosha mbele au umeshika kichwa, kuigiza kama umekaa kwenye kiti na mikono umenyoosha mbele. Hayo kwa uchache.
Ahsante
 
Anza taratibu binafsi nina ratiba ya asubuhi nilianza na kumi mara tano tumbo 20 mara tano hadi sasa niko 12 mara 10 na tumbo zaid ni vema kuifanya kuwa tabia nakutotegemea matokeo sana ili usikate tamaa
Faida kubwa ya push up ni pumzi inakuwa ya kutosha
 
Kama una kilo si zaidi ya 60 ukipiga push up 30 kwa laps 3 asubuhi na jioni Basi siku 7 itaona impact
 
Back
Top Bottom