Hivi kupiga push up kunachukua muda gani ili misuli ya kifua na mikono itanuke?

Hivi kupiga push up kunachukua muda gani ili misuli ya kifua na mikono itanuke?

Endelea kupiga kadri uwezavyo, zipo apps unaweza download zitakuongoza mkuu..
 
Hivi kupiga push up kunachukua muda gani ili misuli ya kifua na mikono itanuke??
Kama mwili wako una mafuta mengi, sahau! Utapika mpaka yesu anarudi ndo itatanuka!! Kama una mafuta mengi, yeyusha kwanza hayo mafuta, kimbia, ruka kamba mpaka utoke jasho la kufa mtu!! In short fanya cardio! Kama hauna mafuta nabunafanya press ups kwa ratiba nzuri, mwezi tu uko na masoz za kukatika!!
 
72389c2c8f689f30b372e616cf93154c.jpg
. husiwe na shaka ngoja kipindi cha kampeni kifike afu umuulize mkuru
 
Hivi kupiga push up kunachukua muda gani ili misuli ya kifua na mikono itanuke??
we jamaa bana😀😀 umeanza kupiga pushups saa 1 asubuh leo,halafu saa kumi jioni unataka uwe umeshavimba kifua hahahahahaha.....bila shaka utakua festi yia wewe😀😀
 
Per day,
Piga push up si chini ya Mia.
Kama unaanza jitahidi upige 20 kwa mara 5 kupata 100.
Kula vyakula vya protein na wanga and kunywa maji mengi.
Piga kwa ufasaha utaona improvements ndani ya muda mfupi.
 
Push ups ukifanikiwa kunifikisha mia, hapo ndio haswa, iwe kwa ufasaha usipige kimakosa, ndani ya wiki tu utaanza kuona mabadiliko katika mwili wako.
 
Ukitaka upendeze piga push -up na pia jenga misuli ya mapaja. Lasivyo umbo lako litakuwa juu umepanuka na chini mwembamba.
 
Piga simu ikulu utapewa mbinu stahiki.
Huku unatuchosha bure.
 
Pesa ya kula ipo kwanza, hivi vitu vinaendana na lishe pia.
 
Back
Top Bottom