Hivi kupiga shoo kote kule bado mpaka leo hatujaitwa magogoni kupongezwa?

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,378
Reaction score
3,383
Miye kwa kweli sikubali, yaani kucheza kote kule ngoma ya Kibati Mheshimiwa alipokuja kupiga kampeni Unguja na Pemba ina maana ndo keshatusahau!

Hebu nihabarisheni wenzangu huko Bara weshaitwa Magogoni kupongezwa baada ya kumuwezesa mheshimiwa kuingia Magogoni?

Au kapongezwa Diamondi peke yake?
 
Mtasubir sana. Hela za kuwapongeza tunanunua vitanda muhimbil. Nyie tutawatumia salamu RTD
 

Wewe unawaza kupongezwa? hakuna cha kupongezwa wala nini. hapa ni kazi tu
 

zinduna mbavu zangu
 
hahaaahaahaaa!! mgaa gaa na upwa hali wali mkavu!! kushanielewa? namaanisha kuwa na subra atuita tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…