Zinduna
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 2,378
- 3,383
Miye kwa kweli sikubali, yaani kucheza kote kule ngoma ya Kibati Mheshimiwa alipokuja kupiga kampeni Unguja na Pemba ina maana ndo keshatusahau!
Hebu nihabarisheni wenzangu huko Bara weshaitwa Magogoni kupongezwa baada ya kumuwezesa mheshimiwa kuingia Magogoni?
Au kapongezwa Diamondi peke yake?
Hebu nihabarisheni wenzangu huko Bara weshaitwa Magogoni kupongezwa baada ya kumuwezesa mheshimiwa kuingia Magogoni?
Au kapongezwa Diamondi peke yake?