Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmh,jamani hata hulo unahitaji kusaidiwa?
ukiambiwa ufe au uachwe unachagua nini?
Mi nikiwa naye huwa naomba yote hayo yasinitokee,ila ikitokea akanipiga kibuti ndio huwa naona bora afe tu,na wakati mwingine namuombea hata akutane na nyoka nikiwepo ili mimi nimsaidie nyoka amng`ate vizuri.
Mi nikiwa naye huwa naomba yote hayo yasinitokee,ila ikitokea akanipiga kibuti ndio huwa naona bora afe tu,na wakati mwingine namuombea hata akutane na nyoka nikiwepo ili mimi nimsaidie nyoka amng`ate vizuri.
Duh kuna watu kweli wanafikira za kiselfish sijaona mfano.
Yaani yaani unatafuta wepesi wa nafsi yako kiasi cha kujiuliza kama ni bora kwa mwenzi wako kufa kuliko kukuacha.
Huyu alokuwa mpenzi wako unaesema unampenda sana unaweza kumfikiria kufa kweli!
kibuti kama unakiendekeza ofcourse kitakuuma,kila siku unatakiwa kuchagua either a gud or a bad day,kifo ni mpango wa Mungu na lazima kiume sana coz maybe mlikuwa na mipango mingine mikuuuubwa,lkn kibuti nadhani unaweza kumshukuru Mungu coz huwezi jua amekuepusha na nn kumbuka kila mtu anaubavu wake Mungu kamuandalia so inawezekana si ubavu wako huo,anything thats hurt u its not urs.(he/she,is not the only fish in the pond!)
Word!
Maswali mengine bwana lol Kibuti hakiumi sana kama kumpoteza mwenza wako .