Hivi kusajili Kampuni BRELA ni lazma uwe na Sanduku la Posta?

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Samahani,

Kuna ulazima wowote wa kuwa na sanduku la posta ili kusajili?
Na VP Kama hilo sanduku la posta ukifungua baada ya kusajili?

Naomba kuwasilisha
 
Si lazima liwe lakwako ingawa kwenye form kuna sehem yakulijaza
 
Mkuu The Giant
unasajiri kwa njia ipi? umeenda phisically au unasajiri online? sababu mimi nimejaribu kusajiri online kweli nimefanikiwa kufanya name clearance ila kufanya malipo ndo nimeshindwa, kwani wanasema unaweza lipa kwa sim au benk sasa sioni namba wala a/c, msaada pls
 
Last edited by a moderator:
Thanks bro, online vizuri itaokoa gharama ya kuwatumia middlemen. VP ulifanikiwa? Na umewalipa sh ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Samahani,

Kuna ulazima wowote wa kuwa na sanduku la posta ili kusajili?
Na VP Kama hilo sanduku la posta ukifungua baada ya kusajili?

Naomba kuwasilisha

Mkuu si lazima liwe lako.tumia la mtu mwingine either mjomba,shangazi,rafiki nk .ili ujaze kwenye form ukamilishe usajili.badae utafute sanduku lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…