Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks bro, online vizuri itaokoa gharama ya kuwatumia middlemen. VP ulifanikiwa? Na umewalipa sh ngapi?Mkuu The Giant
unasajiri kwa njia ipi? umeenda phisically au unasajiri online? sababu mimi nimejaribu kusajiri online kweli nimefanikiwa kufanya name clearance ila kufanya malipo ndo nimeshindwa, kwani wanasema unaweza lipa kwa sim au benk sasa sioni namba wala a/c, msaada pls
Thanks bro, online vizuri itaokoa gharama ya kuwatumia middlemen. VP ulifanikiwa? Na umewalipa sh ngapi?
Samahani,
Kuna ulazima wowote wa kuwa na sanduku la posta ili kusajili?
Na VP Kama hilo sanduku la posta ukifungua baada ya kusajili?
Naomba kuwasilisha