Hivi kushika bango linaoonyesha hisia zako ni kosa kisheria?

Hivi kushika bango linaoonyesha hisia zako ni kosa kisheria?

Kwa mamlaka za Tanzania ni kosa kisheria

Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
 
Yawezekana wengine hawatanielewa, lakini swali langu hasa ni kwa wale wanaoandaa mabango hasa pale Mtu mkubwa anapokuwa ziarani au kwenye public.

Kuna mtu amekasirishwa na bango kule kigoma na baada ya kuongea kuwa hilo bango hata lisoma nimeona wanausalama wanamvaa huyo kijana na kuondoka naye. Haijaeleweka kapelekwa wapi maana hata huyo aliyekasirishwa alitoa kauli yenye utata kuwa "Wengine mnajitafutia matatizo"

Hapa ndo tulipofika watanzania, wanaochekelea chekeni lakini tunakoelekea sio kuzuri.
Jitahidi kutoka hadharani naamini utasikilizwa na utafanikiwa.
 
Kama waliweza kupotea watu maarufu na wenye kujulikana na jamii..

Mkuu, kama umefanikiwa kupata picha ya huyo kijana ni vizuri ukaiweka humu, pia na ujumbe husika katika hilo bango lake!
 
tabia halisi ya mkuu inaanza kuoneka wazi kuwa ni mtu wa namna gani.bado mengine yanakuja zaidi.
 
Back
Top Bottom