Hivi kutongoza ni kosa?

PakaM hata chui huzaa, nimeona sana hizi tabia, watu wamepigwa mawe na vitu kama hivyo lakini mwishowe unasikia wamekuwa mume na mke. Namkumbuka dada mmoja age yetu enzi hizo alikuwa anakujatusimulia
..... hebu mwone kwanza alivyo mweusi ......... hata hajui kuvaa suruali, sijui infantria n.k. na maneno kibao ..... lakini jamaa hakukata tamaa miezi tisa baadae nasiki nanihii kachumbiwa na fulani ........ hapo sasa
kama na wewe ulikuwa unampiga madongo jamaa ujue imekula kwako .......... ila saa nyinge uvumilivyo unakushinda ....... afu ukiachi na kuondoka baada ya muda wanaanza kujilengesha tena .........
inachanganya:smile:
 
1.SI KILA MWANAMKE NI WA KUTONGOZA,
2.WANAWAKE WENGI HUPENDA HESHIMA NA ADABU,UKIENDA KINYUME CHA HAPO NDIYO HAYO YA MAWE, MBWA
3.HAKUNA MWANAMKE MTAKAEELEWANA KAMA UTAONYESHA DALILI KUWA YEYE NI MALAYA.
KUTONGOZA NI SANAA KUBWA KIASI KUWA UKIIELEWA BADALA YA KUTONGOZA UNAAMBIWA'' Kaka nanihii samahani naomba tutoke wote leo,au unaambiwa kabisa kuwa kaka ninakupenda'' BADALA ya kutongoza UNATONGOZWA.
WAKATI WEWE UNAPATA TAABU WENZAKO wanapangua appointment kiustaarabu kila kukicha application zinakuja.
cha muhimu uwajue wanawake wanataka nini,hawataki nini,wanategemea nini,wanataka kusikia nini toka kwa wanaume na hawatakikusikia nini.
Mkuu, hakuna hata mwanamke mmoja anaefanana na mwingine, kwa ajili hiyo katika kuwatafuta hakuna fomula.
NAFIKIRI MUNGU ALIFANYA VEMA SANA KUTULETEA HAWA WATU,WANAUME WENZANGU WA HAPA JF,MLISHAWAHI KUWAZA DUNIA BILA WANAWAKE?????. ILA USIPOWAJUA UTAJUTA KUZALIWA.
 
Kutongoza ni aina ya Taaruma fulani, unatakiwa ufanye upembuzi yakinifu kwanza juu ya huyo unayetaka kumtongoza.
kumbumbuka kwamba yeye sio mgeni na mambo hayo na inawezekana ana mtu wake, huo ukali ni kumthibitishia mtu wake kuwa hatoi nje sambusa yake, au kuonyesha kwamba yeye sio mwanamke wa hovyo hovyo wa kutongozwa hadharani.
hivyo kwanza mchunguze anavutika kwako kabla ya kuanza kumwaga sela.
kumbuka hakuna kisichowezekana katika dunia hii, hata nungunungu huzaa pamoja na kuwa na miiba mwili mzima:nono: jipange upya utafanikiwa.
 
suala kuwa ona hovyo wala sio ila ni kutokujiamini na kumuamini mtongozaji. Kinachotia wasiwasi ni kama kweli wanafahamu kuwa kutongoza sio suala la hovyo hovyo na sio kosa hivyo kustahili majibu yasiyo ya hovyo au kutoa hukumu za matusi otherwise tuziweke principles na taratibu za kutongoza na yupi anafaa kutongozwa na nani, kitu ambacho cjui kama ni real(natural) love tunayozungumzia
 
Hapo na mimi ndio najiuliza inakuwaje inafikia mpaka hatua ya mwanamke kujikusanya na wapambe wake kukupiga mawe ilhali wewe unatongoza tu?

pole paka,kwa kweli hii ya hadi kupigwa mawe sio tu hakutaki bali hakupendi.
hii kali sio siri,sorry lkn nimecheka sana.
 
mada zingine nazo....au ndo kujiliwaza baada ya uchaguzi?
 
ukishindwa wapo wanaouza si uende ...sokoni?
 
kama kukonyeza ni kosa kutongoza si ndio itakuwa balaaa
 

najua sina jibu kamili,lkn kutongoza mtu dada aliyekuvutia sio tatizo,na ni ulimbukeni wa wenzetu kumtukana na kumuadhibu mwanaume aliyekufia,kila mwanamke anapenda kutongozwa hata kama ana mtu wake na hata kama hatamkubalia mtongozaji lkn anafurahi kuona kuwa bado anavutia na kuteka nyoyo za wababa.
Ila ukiona mtu ni mkali sana kwa wanaomtongoza ujue labda ana hasira juu ya wanaume sbb walishamtenda ndo mana anakuwa mbogo.
ila POLENI KWA KUPOPOLEWA NA MAWE si mchezo atii.
 
Labda hapa mkuu utujuze kama unatafuta demu wa kugonga tu one-time kisha ukimbie au unatafuta mchumba ukaoe???kama ni kugonga tu fasta , sidhani kama unapasa kuweka usanii wote huu, kwa style ya maisha ya sasa!


Bloo hapa naongelea kuzibua demu wa nguvu katulia kwa sana.
Siongelei hao mnao badirishana kama viti vya daladala.
Naongelea mdada wa nguvu.

Wewe kama unataka chap chap si unajua wapi kwa kwenda??

Naongelea mtu kutaka demu wa kumwita demu wangu pale ushwazi.
Kuoa?

Hayo ni matokeo bloo!

Bloo! Kama ni kupiga?Hakuna Ngonjera wala mashairi ya vina hapo. Mademu wa kupiga wako kibao bloo ila tahadhari bloo kuna miwaya!

Kwani unadhani sasa hivi nyie ndo mnapiga sana mademu kuliko zamani??

We pita mtaani angalia wadada wenye watoto wa midingi ya umri wako kila kona.

Unadahani hao wadada walipata watoto baada ya midingi hiyo kuwapa busu shavuni??

Nonono Midingi na mvi zao inapiga sana tena ina stamina ya kumudu mademu mpaka watatu kwa siku.

Bloo watoto wenye mama bila baba wasingejaa ushwazi ingekuwa ninyi vijana ndiyo mafundi kuliko midingi Sukari!

Sasa hivi ni ulimbukeni ukipiga kajidemu unataka kila mtu ajue.

Bloo hujui kupiga demu ni sehemu ya muhimu ya kutengeneza mtu????:love:
 
kutongoza si kosa na hakuna mtu anastaili adhabu kwaa jili ya kutongoza .....
hakuna mtu ambaye leo hii angekuwa ameolewa au kuwa na partner kama si kutongozana ........
lakini ni sisi wa 21st century ndo tunao haribu jinsi ya kutongozana......
yaani we una mfuata mtu halafu kitu cha kwanza unasema "dada we ni mzuri nikioga nakuona kwenye beseni" hivi kweli....
 

Kweli bloo.

Mimi Form 1 mpaka 6 sikufanikiwa kuwa na demu Chapa kamwene.
Nilisoma na mademu Bomba sana naishia kupigwa Makasi na Magoti mengi.
Nikijipitisha naambiwa nikome kama nilivyokoma ziwa la mama.

Basi nikawa najiopolea mademu wa Arusha Shinyanga Musoma Moshi na Hata Kondoa. Walikuwa wakini blooo ile mbaya.

Heee! Sasa nikachumbia my wife ambaye ni wa kaskazini.


Bwana wee ikawa vita ya kutishiana Uhaini na kurushiana maneno mazito kama tufani.

Mara napigwa midongo ya nguvu kwamba ninaonyesha dharau kwanini nimeacha mademu wote huko Unyaluni na kuleta huyo Kihunde kutoka Kaskazini??

Nikaambiwa Kwanza siku zote nilikuwa naringa sana.

Hivi nilikuwa naringa mimi wao??

Wengine walithubutu kuniambia aa wapi atamwacha na kuja ktuopoa sisi.

Nilikuwa nikipiga zoezi viwanja vya kaskazini na ushindi nimepatia huko huko.

Bloo kujiilengesha imo sana mpaka siku unavuta jiko. Kama huko makini utapata mfadhaiko wa nguvu Bloo!
 

Yep! Ukishambuliwa baada ya kutongoza huyo anayekushambulia yuko karibu kukubali. Wanawake wote ambao hawataki huwa hawana maneno, wanakungalia na kwenda zao. Mkomalie huyo anayekushambulia, atakuwa amekaribia kukubali.
Lakini subiri, wewe unatongozaje? Mualike mwali sehemu ya chips dume au chips kuku mnunulie za kutosha na kama mshiko uko sawa zuka maeneo ya grocery. Hapo lazima atataka redbull au bavaria, au kama mnywaji atakuambia heineken au Tusker kijani. Nunua.
Kilichobakia ni kama kumsukuma mlevi.. utakamua tani yako.
 

Unamuona kwenye Beseni siyo Tub?
 
labda wale WAKALE ndio wanarusha mawe na kusakizia mbwa. Siku hizi mbona wanaume tumerahisishiwa mambo kwa saana tu. Unakula pose lako safi unaona tetere anakuja kutua ili anywe maji.
basi hapo hapo ananaswa na urimbo mbawa zake zote na hawezi kuruka mpaka uamue ww kumwachia.
 

Eeeehhh umesema, hata mama Mzee, demu saizi yako au msichana wa 18 yrs unaweza kumtongoza ila timing, si unaingia kichwa kichwa tu,
kwanza mfahamiane, don't show ww mtu wa kungonoka at first day/ tuliza ball, then appreciate umtakaye, then ujue these days ni pochi yako, usichukue muda mrefu sana kumtongoza maana hapa timing is a technique, muda gani nipige mpira umpite defender na nimfunge kipa, timing, then anza kutomasa ufuska wako, utakuala mayai na kuku ukitaka, so kutongozwa it depends timing
 
pole paka,kwa kweli hii ya hadi kupigwa mawe sio tu hakutaki bali hakupendi.
hii kali sio siri,sorry lkn nimecheka sana.





Mama sikupigwa mimi hiyo mijiwe ni jamaa mwingine tu lakini anyway nitamfikishia pole yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…