Hivi kutongoza ni kosa?

Hivi kutongoza ni kosa?

ukishindwa wapo wanaouza si uende ...sokoni?

Huko hakufai si unajua kuwa kuku mtamu ni yule unamkimbiza mwenyewe, unamkamata mwenyewe,unamchinja mwenyewe,unamnyonyoa mwenyewe,unampika mwenyewe,na unamla mwenyewe,hawa wa kukuta bandani na kutayarishwa na massawe unakuta ameshaonjwa mpaka ladha hakuna tena.
 
kutongoza si kosa na hakuna mtu anastaili adhabu kwaa jili ya kutongoza .....
hakuna mtu ambaye leo hii angekuwa ameolewa au kuwa na partner kama si kutongozana ........
lakini ni sisi wa 21st century ndo tunao haribu jinsi ya kutongozana......
yaani we una mfuata mtu halafu kitu cha kwanza unasema "dada we ni mzuri nikioga nakuona kwenye beseni" hivi kweli....

Umepata PM yangu?
 
Nimeiona thanks:cheer2:.:focus: Vipi lakini wewe haupigi mawe na kusakizia mbwa au huwa unatoa adhabu gani?

hapana mimi sifanyi hivyo kabisa....
sitaki nikuumize kiroho na nikuumize kimwili.....
hahahah lol
 
je kutongoza ni kosa mpaka wanaume tustahili adhabu zote hizi?
Inabidi usiingie mkichwa mkichwa angalia na dalili za kukubalika zipo? kama hazipo basi okoa muda na songa mbele............wapo wengi wakusubiria wewe bila ya mwenyewe kujijua vile........
 
Back
Top Bottom