Hivi kuwa askari polisi ni tiketi ya kudhulumu raia wema?

Ukiwakuta wananingia kwenye zile gari zao basi wajiona kama wao wameyamaliza maisha. Ila wakiaanza kulilia hela ya supu kama sio wao.
 
Samahani Watanzania wenzangu Ila inafika kipindi nawaza ni bora kusiwepo Askari polisi maana wamekuwa Kama chachu ya unyanyasaji na unyanganyaji Sasa zaidi ya Majambazi na Vibaka.
Sometimes am proud of Hamza RIP.

POLE SAANA Mzee wa Old School HAWA VIJANA WANATUMIA NGUVU KUBWA AKILI KIDOGO NAONA SASA POLISI WAWE ANGALAU NA DEGREE ILI WAJUE KIPI NI KIPI KWA WAKATI UPI!
 
Sehemu unazotembelea sio rafiki hebu jiulize mara ngapi unakamatwa

Sehemu za wahalifu au machangu au wauza ngada na bangi ni mbaya kusimama
 
Hawajasahau ila kazi ya polisi inakinzana na mambo yako lbd ndo maana unasema hivyo
Sawa...... Inakinzana na RAIA wema... Ila kaa ukijua kila kazi inamwisho pamoja na yako hiyo ya upolisi, na utalea hesabu kilatendo ulilo tenda
Hawajasahau ila kazi ya polisi inakinzana na mambo yako lbd ndo maana unasema hivyo

Hawajasahau ila kazi ya polisi inakinzana na mambo yako lbd ndo maana unasema hivyo
Hawajasahau ila kazi ya polisi inakinzana na mambo yako lbd ndo maana unasema hivyo

Wapo wamejaa tele wanaendelea na maisha yao. Wataenda wapi km siyo mtaani baada ya kustaafu
Na wengine wengi bado wapo kazini na unaishi nao hapo mtaani kwako
Si kila polisi ni dhulumati.
Ni kweli lakini asilimia kubwa ni wadhulumati
 
Uzi sijausoma nipo zangu nabeba box ila nikiona polisi Tu wa bongo nanyanyua mikono🙌 Hawa watu Wana moto wao ndo mana mostly of them wanamaisha ya hivyo.
 
Bro; Ni vizuri umewakumbusha na kwa mantiki hiyo "Umenawa" mikono cf. Ponsyo Pilato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…