Ignas lyamuya
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 777
- 857
Huwa mkosi pale unapojibebesha mimba wakati huna uhakika kama anayekupa mimba atakuoa ila......ila sisi mama zetu waliofiwa na waume zao wanalea wenyewe sio ma “ single mother” wao ni wajane ila nyie ma sistaa duu kweli ni mkosi tena balaa