Ignas lyamuya
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 777
- 857
Nasubiria mapovu ya wanaume wa jf tu wakionaga single mother tu akili inawatuma wanatakiwa waishi ulimwengu wa peke yao
Nikirudi kwenye mada nakuunga mkono hoja tu ulichoongea
Sawa!barikiwa hata huyo yako aliyefiwa nae ni singo maana analea peke yake hana tofauti na huyo aliyezaa bila ndoa!Huwa mkosi pale unapojibebesha mimba wakati huna uhakika kama anayekupa mimba atakuoa ila......ila sisi mama zetu waliofiwa na waume zao wanalea wenyewe sio ma “ single mother” wao ni wajane ila nyie ma sistaa duu kweli ni mkosi tena balaa
Usinichoshe mkuu wala tusichoshaneHajaongea; bali ameandika!
Ebu shangaa kuchoshana tuHahaaa.....umeona eeehh!!!muda mchache yanini kuchoshana
Halafu ndio alivyo huyo anapendaga hizo mambo sanaKuna watu wanapenda tu kila sehemu kuweka makuzi!!!
Sawa!barikiwa hata huyo yako aliyefiwa nae ni singo maana analea peke yake hana tofauti na huyo aliyezaa bila ndoa!
Wape pole Dada zako![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!!Utofauti upo kwenye heshima kwa jamii kuna ukweli mchungu ambao masingle mother waliozaa kabla ndoa hawapendi kuusikia kuzalia nyumbani ni kinyume na mila zetu me nina dada zangu waliona ni mtundo wa siku hiz wakajaribu wanajuta sasa hivi
Hahaaa....daahhh!a anajutaaKuna dem alinitosa kipindi kile nipo shule sina ishu, bwana wee akapata mhuni akapiga mimba. Dem kazaa baada ya mwaka jamaa akaingia mitini, saivi anatuma sms kutwa nzima namimi namuangalia alaf nasema hiiiiiiiiiii
Hakuna kitu kama "single mother". Hakuna mtoto asiye na baba.
Kujiita "single mother" ni kujipachika jina la kuhurumiwa. Unacheza na akili za watu.
Hujaelewa context ya hilo jina!
Wewe sio native English speaker,natives wenye lugha yao ndio wametoa hilo jina!
Sijui wewe unawabishia wenye lugha yao meaning na context yao wewe kama nani hasa?
Wewe sio native English speaker,sio English language scholar,sio yeyote hapo,ila unawabishia matumizi yao kwa maana yao waliyojiwekea wao,sijui haya mapafu unatolea wapi?
Hujui au hujawahi sikia?