Hivi kwa akili zenu mnafikiri Al Hilal atamtoa Yanga kwao?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Unajua naangalia tu mashabiki wa Simba na baadhi ya mashabiki wa Yanga wanavyo piga ntantarira zao kuwa tayari sisi tumekwenda na maji.

Lakini nataka tu niwaambie Yanga ana nafasi kubwa kufanya kile alichofanya Town Rollash kule Botswana.

Wewe subiri tu uone itakuwaje, bora wale wacheze mpira wa kuzuia kwao, wakishambulia Yanga wamekufa!
 
Unajua naangalia tu mashabiki wa Simba na baadhi ya mashabiki wa Yanga wanavyo piga ntantarira zao kuwa tayari sisi tumekwenda na maji...
Kabisa mkuu......yanga wanenda kupindua meza kibabe

Je Nani mkali Kati ya namungo na MAKOLo [emoji23][emoji23]

FB_IMG_16653369141553388.jpg
 
Unajua naangalia tu mashabiki wa Simba na baadhi ya mashabiki wa Yanga wanavyo piga ntantarira zao kuwa tayari sisi tumekwenda na maji.
Lakini nataka tu niwaambie Yanga ana nafasi kubwa kufanya kile alichofanya Town Rollash kule Botswana.

Wewe subiri tu uone itakuwaje, bora wale wacheze mpira wa kuzuia kwao, wakishambulia Yanga wamekufa!
Ama kweli wewe ni Kwisha
 
Unajua kwasababu liliwekwa goli la ugenini ingia hata Google uangalie halafu urudi hapa kwenye thread yako.
 
Marehemu Utopolo alikuwa anajua kujifariji
 
Unajua naangalia tu mashabiki wa Simba na baadhi ya mashabiki wa Yanga wanavyo piga ntantarira zao kuwa tayari sisi tumekwenda na maji.

Lakini nataka tu niwaambie Yanga ana nafasi kubwa kufanya kile alichofanya Town Rollash kule Botswana.

Wewe subiri tu uone itakuwaje, bora wale wacheze mpira wa kuzuia kwao, wakishambulia Yanga wamekufa!
Ni kweli Al Hilal haendi kumtolea Utopolo kwao yeye kazi kamalizia hapa mjini lupaso. Huko Yanga anaenda kutomaswa tu
 
Unajua naangalia tu mashabiki wa Simba na baadhi ya mashabiki wa Yanga wanavyo piga ntantarira zao kuwa tayari sisi tumekwenda na maji.

Lakini nataka tu niwaambie Yanga ana nafasi kubwa kufanya kile alichofanya Town Rollash kule Botswana.

Wewe subiri tu uone itakuwaje, bora wale wacheze mpira wa kuzuia kwao, wakishambulia Yanga wamekufa!
Yanga hawana historia ya kuweza kupindua meza!! Wamezoea kupigwa ndani nje!
 
Unajua naangalia tu mashabiki wa Simba na baadhi ya mashabiki wa Yanga wanavyo piga ntantarira zao kuwa tayari sisi tumekwenda na maji.

Lakini nataka tu niwaambie Yanga ana nafasi kubwa kufanya kile alichofanya Town Rollash kule Botswana.

Wewe subiri tu uone itakuwaje, bora wale wacheze mpira wa kuzuia kwao, wakishambulia Yanga wamekufa!
Haya Town Rollash
 
We ruka ruka weeeeeeeeehh ila kumbuka al hilal wana ibenge [emoji23][emoji23][emoji23]yaani bora mngebaki tu dar mkubali yaishe oz mtapoteza hela bure
 
Unajua naangalia tu mashabiki wa Simba na baadhi ya mashabiki wa Yanga wanavyo piga ntantarira zao kuwa tayari sisi tumekwenda na maji.

Lakini nataka tu niwaambie Yanga ana nafasi kubwa kufanya kile alichofanya Town Rollash kule Botswana.

Wewe subiri tu uone itakuwaje, bora wale wacheze mpira wa kuzuia kwao, wakishambulia Yanga wamekufa!
We jamaa unaota kweli, wajizuie wamekwambia wanataka sare wale ??
Yaani kabisa uiogope Yanga kwa michuano ya Afrika kwa lipi haswaa au kwakus mlimfunga Zalan 9 mnajua ndio mmetuma salamu Africa?
Mtashambuliwa mwanzo mwisho na mtapigika za kutosha tu na zuri zaidi rekodi yenu ya toka mwaka 1998 mtaendelea nayo
 
Back
Top Bottom