kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Unajua naangalia tu mashabiki wa Simba na baadhi ya mashabiki wa Yanga wanavyo piga ntantarira zao kuwa tayari sisi tumekwenda na maji.
Lakini nataka tu niwaambie Yanga ana nafasi kubwa kufanya kile alichofanya Town Rollash kule Botswana.
Wewe subiri tu uone itakuwaje, bora wale wacheze mpira wa kuzuia kwao, wakishambulia Yanga wamekufa!