Kabisa mkuu......yanga wanenda kupindua meza kibabeUnajua naangalia tu mashabiki wa Simba na baadhi ya mashabiki wa Yanga wanavyo piga ntantarira zao kuwa tayari sisi tumekwenda na maji...
Kabisa mkuu......yanga wanenda kupindua meza kibabe
Je Nani mkali Kati ya namungo na MAKOLo [emoji23][emoji23] View attachment 2382596
Ama kweli wewe ni KwishaUnajua naangalia tu mashabiki wa Simba na baadhi ya mashabiki wa Yanga wanavyo piga ntantarira zao kuwa tayari sisi tumekwenda na maji.
Lakini nataka tu niwaambie Yanga ana nafasi kubwa kufanya kile alichofanya Town Rollash kule Botswana.
Wewe subiri tu uone itakuwaje, bora wale wacheze mpira wa kuzuia kwao, wakishambulia Yanga wamekufa!
Bhuholo mbonge gete ung'wing'wana ng'wenuyo!Olena bhodindiligwa mtwe gwako
Unajua kwasababu liliwekwa goli la ugenini ingia hata Google uangalie halafu urudi hapa kwenye thread yako.Unajua naangalia tu mashabiki wa Simba na baadhi ya mashabiki wa Yanga wanavyo piga ntantarira zao kuwa tayari sisi tumekwenda na maji.
Lakini nataka tu niwaambie Yanga ana nafasi kubwa kufanya kile alichofanya Town Rollash kule Botswana.
Wewe subiri tu uone itakuwaje, bora wale wacheze mpira wa kuzuia kwao, wakishambulia Yanga wamekufa!
Ni kweli Al Hilal haendi kumtolea Utopolo kwao yeye kazi kamalizia hapa mjini lupaso. Huko Yanga anaenda kutomaswa tuUnajua naangalia tu mashabiki wa Simba na baadhi ya mashabiki wa Yanga wanavyo piga ntantarira zao kuwa tayari sisi tumekwenda na maji.
Lakini nataka tu niwaambie Yanga ana nafasi kubwa kufanya kile alichofanya Town Rollash kule Botswana.
Wewe subiri tu uone itakuwaje, bora wale wacheze mpira wa kuzuia kwao, wakishambulia Yanga wamekufa!
Yanga hawana historia ya kuweza kupindua meza!! Wamezoea kupigwa ndani nje!Unajua naangalia tu mashabiki wa Simba na baadhi ya mashabiki wa Yanga wanavyo piga ntantarira zao kuwa tayari sisi tumekwenda na maji.
Lakini nataka tu niwaambie Yanga ana nafasi kubwa kufanya kile alichofanya Town Rollash kule Botswana.
Wewe subiri tu uone itakuwaje, bora wale wacheze mpira wa kuzuia kwao, wakishambulia Yanga wamekufa!
Haya Town RollashUnajua naangalia tu mashabiki wa Simba na baadhi ya mashabiki wa Yanga wanavyo piga ntantarira zao kuwa tayari sisi tumekwenda na maji.
Lakini nataka tu niwaambie Yanga ana nafasi kubwa kufanya kile alichofanya Town Rollash kule Botswana.
Wewe subiri tu uone itakuwaje, bora wale wacheze mpira wa kuzuia kwao, wakishambulia Yanga wamekufa!
We jamaa unaota kweli, wajizuie wamekwambia wanataka sare wale ??Unajua naangalia tu mashabiki wa Simba na baadhi ya mashabiki wa Yanga wanavyo piga ntantarira zao kuwa tayari sisi tumekwenda na maji.