GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Inakuingia Akilini Kweli kuwa kama tuliaminishwa kuwa kwa sasa Yanga SC kuna Fedha huku GSM, Taifa Stars na Kiongozi Mstaafu wakiwa nyuma Kuihudumia Kipesa na hapo hapo Timu imeshinda Ubingwa wa NBC, ASFC na kufika Fainali ya CAFCC ambako kote huko imepata Pesa nyingi mno leo hii ikakimbiwa na Kocha Mkuu, Kocha wa Makipa na 65% ya Wachezaji wake Waandamizi walioipatia Mafanikio makubwa Timu hiyo?
Fikra zangu GENTAMYCINE zinanipeleka kuhisi kuwa huenda huko Yanga SC kuna matatizo makubwa ya Kipesa ila Uongozi na Matajiri tajwa wachache wanatumia nguvu Kubwa kuficha kwa Kuwahonga Waandishi wa Habari za Michezo nchini ili wasiseme.
Nimeenda mbali zaidi Kuwaza kuwa huenda Wachezaji hawa na Makocha walioondoka Roho zao zinawasuta kwakujua kuwa Mafanikio yao ya Vikombe na Kufika mbali Kimataifa kulitokana na Ujanja Ujanja (Chupli Chupli) ila siyo Uwezo halisia.
Ngoja tuone ila nina Mashaka.