Uchaguzi 2020 Hivi kwa mfano mwaka 2020 ikiwa hivi itakuwaje?

Uchaguzi 2020 Hivi kwa mfano mwaka 2020 ikiwa hivi itakuwaje?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Rais JPM kama kawaida
Makamu Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu Suleman Jaffo

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mama Samia Suluhu Hassan
Waziri Kiongozi Dkt. Hussein Mwinyi

Nawasilisha.
 
Jaffo ni wa 2025, alafu mwinyi ni wa Zanzibar, ridhiwani anakuwa waziri wa Nishati na Madini,
 
Rais JPM kama kawaida
Makamu Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu Suleman Jaffo

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mama Samia Suluhu Hassan
Waziri Kiongozi Dkt. Hussein Mwinyi

Nawasilisha.
Rais akitoka bara basi makamu lazima atoke zenji.
Labda kama katiba ibadilike.
Hao uliowataja wote ni bara.
Majakiwa
JPM na
Jafo.
 
Jaffo ni wa 2025, alafu mwinyi ni wa Zanzibar, ridhiwani anakuwa waziri wa Nishati na Madini,

Ulishawasiliana labda kwa njia ya Ujumbe / Meseji / Rununu au Kupiga Simu Mbinguni kwa Muumba na mwenye ' Pumzi ' yake hii Mwenyezi Mungu na akakuhakikishia kabisa kuwa Wewe una ' hatimiliki ' ya Uhai wa mpaka kuufikia huo mwaka wa 2025 pamoja na hao ' Watajwa ' wako?
 
Makamu wa rais kutoka upande mwingine wa muungano ni takwa la kikatiba
 
Rais JPM kama kawaida
Makamu Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu Suleman Jaffo

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mama Samia Suluhu Hassan
Waziri Kiongozi Dkt. Hussein Mwinyi

Nawasilisha.
GENTAMYCINE ina maana hufahamu kuwa ķulingana na Katiba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitoka Tanzania Bara Makamu wa Rais ni LAZIMA atoke Zanzibar and vice versa?
 
Rais JPM kama kawaida
Makamu Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu Suleman Jaffo

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mama Samia Suluhu Hassan
Waziri Kiongozi Dkt. Hussein Mwinyi

Nawasilisha.
Rais JPM kama kawaida
Makamu Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu Suleman Jaffo

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mama Samia Suluhu Hassan
Waziri Kiongozi Dkt. Hussein Mwinyi

Nawasilisha.
Unamzungumzia huyu Jafo aliyeonyeshwa pipe culvert sehemu ya kujenga box culvert Barbara ya Sabasaba to Buswelu Mwanza au Jafo mwingine na aliyeshindwa kujua kuwa wachina wanapiga wafanyakazi na kuwatukana
 
Ulishawasiliana labda kwa njia ya Ujumbe / Meseji / Rununu au Kupiga Simu Mbinguni kwa Muumba na mwenye ' Pumzi ' yake hii Mwenyezi Mungu na akakuhakikishia kabisa kuwa Wewe una yohatimiliki ' ya Uhai wa mpaka kuufikia huo mwaka wa 2025 pamoja na hao ' Watajwa ' wako?
Ila hatimiliki ya wewe kufika 2020 unayo. Alafu apo kwa makamu(Kasimu Majaliwa) umechapia,rais akitoka upande mmoja ,makamu lazima atoke upande wa pili wa muungao(Sioni uwezekano wa katiba kubadilika kabla ya 2020 )
 
Unamzungumzia huyu Jafo aliyeonyeshwa pipe culvert sehemu ya kujenga box culvert Barbara ya Sabasaba to Buswelu Mwanza au Jafo mwingine na aliyeshindwa kujua kuwa wachina wanapiga wafanyakazi na kuwatukana
Kweli uyu ata uwaziri bado amepwaya sana
 
Rais JPM kama kawaida
Makamu Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu Suleman Jaffo

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mama Samia Suluhu Hassan
Waziri Kiongozi Dkt. Hussein Mwinyi

Nawasilisha.
Uwe unasoma kwanza matakwa ya Katiba kisha unaandika wazo lako
 
Rais JPM kama kawaida
Makamu Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu Suleman Jaffo

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mama Samia Suluhu Hassan
Waziri Kiongozi Dkt. Hussein Mwinyi

Nawasilisha.
Hapo kwa makamo wa Raisi haitawezekana kutokana na muungano
 
Mmesahau kuwa Mungu naye yupo. Huyo mnayemsema atakuwepo mpaka 2025 anaweza ondoka kabla ya 2020
 
Back
Top Bottom