Hivi kwa mfano tukiwekewa vikwazo vya kimataifa na Zanzibar itahusika?

Hivi kwa mfano tukiwekewa vikwazo vya kimataifa na Zanzibar itahusika?

Samahani, nje ya Mada, Hivi ni Kwa nini viongozi wetu kasoro Nyerere wanapenda sana hizi habari za ma- deals? Getting rich super quickly or die trying to get rich?
Mikataba ya Ki- Karl Peters - ni Kama vile somo la historia liliwapita.
Loliondo, deep Green, melemeta, escrow, bandari, carbon offsetting, na mengine mengi.
Juzi nimeona mjengo wa job ndugai- sijui hata kama alibahatika kuishimo na Nina wasiwasi kama waliobaki watamudu kulilinda hilo jengo, hizi Mali za ma- deal ni za nini ?

Je Huko tuendako baada ya kifo tutahesabiwa pia kwamba tumejilimbikizia Mali kiasi gani humu duniani kabla ya kuisogelea ahela?
 
Yaan bila kuwa na sheria kaliii sana kama China
Wananchi mtaendelea kupiga kelele uchwara bila mafanikio
Maendeleo hayana kubembelezana
Wahuni wote tupa ndani

Ngoja tulambe asali sisi
Tuna kula size ya kamba zetu
 
Back
Top Bottom