Samahani, nje ya Mada, Hivi ni Kwa nini viongozi wetu kasoro Nyerere wanapenda sana hizi habari za ma- deals? Getting rich super quickly or die trying to get rich?
Mikataba ya Ki- Karl Peters - ni Kama vile somo la historia liliwapita.
Loliondo, deep Green, melemeta, escrow, bandari, carbon offsetting, na mengine mengi.
Juzi nimeona mjengo wa job ndugai- sijui hata kama alibahatika kuishimo na Nina wasiwasi kama waliobaki watamudu kulilinda hilo jengo, hizi Mali za ma- deal ni za nini ?
Je Huko tuendako baada ya kifo tutahesabiwa pia kwamba tumejilimbikizia Mali kiasi gani humu duniani kabla ya kuisogelea ahela?