Hahahahahaha una hasira sana kwahiyo ni 'chapati na chapati ya rangi'?Yani chapati na chapati ya rangi kweli!
Tena hao kuku wawili wenyewe, ni kama wale kuku wanaopewa abiria ktk chakula cha ndani ya ndege.Hapana siyo mbuzi mzima kaka. Alikula kuku wawili. Acha uongo wa wazi wazi
Umetisha. Wapi huko mkuu?Yani chapati na chapati ya rangi kweli!
KUKU WALE hata mtoto wa darasa la pili wa Makurumla Primary angemaliza.Ila kumaliza kuku wawili si mchezo.
Huwaga nawaza hii...mnaenda kwenye mgahawa jinsia tofauti wote mnaagiza supu au wali mnamaliza na wote mnasema mmeshiba.afu unakuta umekaa sehemu wewe na manzi wako nyote mnaagiza chips yai majanga sana
HaaaaaaaaaaaaaaHata kama ni kuku wawili, huyo nae kawa chatu sasa aaanh!
Hapana siyo mbuzi mzima kaka. Alikula kuku wawili. Acha uongo wa wazi wazi
ukweli ndo huo kakaHii ni kawaida kwa wachezaji wa kibongo wala usishangae mkuu labda kama ndo umefika leo Tz.
Unakuwa nae wakati wa kula au ndiyo kudata kwa Ozil. Tujadili kwa evidence kama bandiko linavyoonesha hapo juu, uongo weka pembeni
Sometimes kula sana si kigezo cha kumfanya mtu afanye vyema... Mbona Mesut Ozil hawezi kumaliza paja la kuku lakini shuhuli yake wanaitambua pale EPL...?
[emoji15] [emoji23] mgosi noma!Nilisoma interview fulani hivi ya Musa Mgosi akaambiwa aeleze ratiba yake ya kila asubuhi akiamka akasema akiamka anakunywa chai na vitumbua vinne anapiga push up kumi kisha anaenda mazoezini.
Interview nyingine ya mwanariadha mtanzania ambaye alipata udhamini wa wachina akasema wenzetu kule chumbani kwako yaani matunda na vyakula havikauki, wana biskuti fulani ukila unaona nguvu zinakuja fasta na unashiba hapo hapo na wana nidhamu ya mazoezi.
Tamim Awadh (bondia) akiwa na promoter wake nje ya Tanzania alitelekezwa baada ya promoter kuona yule ndugu anakula sana (interviewe ilikua eatv) katika idadi ya kuku ambayo Tamim anakula promota alikua anaweza kutoa wawili, watatu waliobakia Tamim akaambiwa awe ananunua mwenyewe.
Ninachoona ni kua bado hatuchukulii michezo kama fursa hii ni kwa wanamichezo wenyewe na hata viongozi wao, kwahiyo sioni tukiacha kunywa chai na chapati mbili huku gym hatuingii labda malaika washuke. Na hao BMT ndiyo wanataka klab zisiendeshwe kwa faida ndiyo wanazidi kuua.
Drogba kuna dada alijipenyeza hapo hadi hadi wakaduu na hali wachezaji hawatakiwi kufanya hiyo kitu wanapokuwa kambiniHawa cjui wanabania nakumbuka Didier Drogba alipikuja Tz alikula mbuzi mzma