Hivi kwa mlo kama huu wachezaji wetu watatoa wapi nguvu jamani?

Swala la ugoi goi lipo kwa wanaume wengi bongo . Ukitaka kujua wanaume wengi nguvu hakuna chek wanawake zetu wanavyolalamika afu unakuta umekaa sehemu wewe na manzi wako nyote mnaagiza chips yai majanga sana
 
Nilisoma interview fulani hivi ya Musa Mgosi akaambiwa aeleze ratiba yake ya kila asubuhi akiamka akasema akiamka anakunywa chai na vitumbua vinne anapiga push up kumi kisha anaenda mazoezini.

Interview nyingine ya mwanariadha mtanzania ambaye alipata udhamini wa wachina akasema wenzetu kule chumbani kwako yaani matunda na vyakula havikauki, wana biskuti fulani ukila unaona nguvu zinakuja fasta na unashiba hapo hapo na wana nidhamu ya mazoezi.

Tamim Awadh (bondia) akiwa na promoter wake nje ya Tanzania alitelekezwa baada ya promoter kuona yule ndugu anakula sana (interviewe ilikua eatv) katika idadi ya kuku ambayo Tamim anakula promota alikua anaweza kutoa wawili, watatu waliobakia Tamim akaambiwa awe ananunua mwenyewe.

Ninachoona ni kua bado hatuchukulii michezo kama fursa hii ni kwa wanamichezo wenyewe na hata viongozi wao, kwahiyo sioni tukiacha kunywa chai na chapati mbili huku gym hatuingii labda malaika washuke. Na hao BMT ndiyo wanataka klab zisiendeshwe kwa faida ndiyo wanazidi kuua.
 
Hapana siyo mbuzi mzima kaka. Alikula kuku wawili. Acha uongo wa wazi wazi
Tena hao kuku wawili wenyewe, ni kama wale kuku wanaopewa abiria ktk chakula cha ndani ya ndege.
 
afu unakuta umekaa sehemu wewe na manzi wako nyote mnaagiza chips yai majanga sana
Huwaga nawaza hii...mnaenda kwenye mgahawa jinsia tofauti wote mnaagiza supu au wali mnamaliza na wote mnasema mmeshiba.

Inaa maana Mimi na kamwili haka na wewe na jimwili hilo tunakula sawa!!! Mwanaume anayekula sawa na Mimi ananitisha aisee.
 
Hapana siyo mbuzi mzima kaka. Alikula kuku wawili. Acha uongo wa wazi wazi

Sometimes kula sana si kigezo cha kumfanya mtu afanye vyema... Mbona Mesut Ozil hawezi kumaliza paja la kuku lakini shuhuli yake wanaitambua pale EPL...?
 
Halafu msipende ku_generalize mambo....

Sio wachezaji wa Klabu zote wanakula msosi wa aina hiyo...

Pale Yanga ni Marufuku kabisa kunywa kitu kinachoitwa CHAI. Yaani mlo wa asubuhi tu ni Mtori wa Mayai, Maziwa (siyo chai ya maziwa), Frenz( Mayai yaliyo changanywa na Ngano) n.k
 
Usikute jana yake usiku aligonga safari lager kama 7 hivi harafu anaamkia chai ya rangi na chapati
 
Halafu baada ya huo mlo mnaenda gym, si kuuana huko jamani, viongozi wa klabu watendeeni haki wachezaji wenu, wataishia kucheza bongo tu
 
Sometimes kula sana si kigezo cha kumfanya mtu afanye vyema... Mbona Mesut Ozil hawezi kumaliza paja la kuku lakini shuhuli yake wanaitambua pale EPL...?
Unakuwa nae wakati wa kula au ndiyo kudata kwa Ozil. Tujadili kwa evidence kama bandiko linavyoonesha hapo juu, uongo weka pembeni
 
Nilisoma interview fulani hivi ya Musa Mgosi akaambiwa aeleze ratiba yake ya kila asubuhi akiamka akasema akiamka anakunywa chai na vitumbua vinne anapiga push up kumi kisha anaenda mazoezini.

Interview nyingine ya mwanariadha mtanzania ambaye alipata udhamini wa wachina akasema wenzetu kule chumbani kwako yaani matunda na vyakula havikauki, wana biskuti fulani ukila unaona nguvu zinakuja fasta na unashiba hapo hapo na wana nidhamu ya mazoezi.

Tamim Awadh (bondia) akiwa na promoter wake nje ya Tanzania alitelekezwa baada ya promoter kuona yule ndugu anakula sana (interviewe ilikua eatv) katika idadi ya kuku ambayo Tamim anakula promota alikua anaweza kutoa wawili, watatu waliobakia Tamim akaambiwa awe ananunua mwenyewe.

Ninachoona ni kua bado hatuchukulii michezo kama fursa hii ni kwa wanamichezo wenyewe na hata viongozi wao, kwahiyo sioni tukiacha kunywa chai na chapati mbili huku gym hatuingii labda malaika washuke. Na hao BMT ndiyo wanataka klab zisiendeshwe kwa faida ndiyo wanazidi kuua.
[emoji15] [emoji23] mgosi noma!
 
Hawa cjui wanabania nakumbuka Didier Drogba alipikuja Tz alikula mbuzi mzma
Drogba kuna dada alijipenyeza hapo hadi hadi wakaduu na hali wachezaji hawatakiwi kufanya hiyo kitu wanapokuwa kambini
 
Back
Top Bottom