Hivi kwa mtazamo wenu elimu ya chuo inamanufaa yoyote?

Hivi kwa mtazamo wenu elimu ya chuo inamanufaa yoyote?

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Mimi kwa kweli naona zama zimebadikika

Huwezi kutoboa kwa system yenye congestion namna hii

Naona private sector na waliojiajiri wanakula maisha kuliko wenye ajira.

Gharama za maisha zimezidi, ukitegemea mshahara hupigi hatua

Wanakula maisha ni wenye Mia ya mingi ya hela, wale ambao hela I nawafanyia kazi.

Mtu leo anamaliza chuo, akibahatisha ajira anagotea kulipwa hela ya kula na kulala tu

Ni waambie tu vijana wenzangu kuanza kutumia hii mitandao vyema. The upcoming wave ni ya kimapinduzi.

Leo tunaona watu hawa amini kabisa katika kuajiriwa, maana ni utumwa. Kupata kazi kwenye we tu utakesha.

Je, elimu ya chuo ni necessary tena?

Tujadili
 
Back
Top Bottom