kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Ww na kyagata ni ndugu?Mko salama humu?
Nauliza, hivi kwa mwanaume kulala uchi wa mnyama kila siku ilihali huna mke ni sawa?
Kuna jamaa angu kaniuliza hili swali nimeshindwa cha kumjibu.
Kwa mikoa kama Daa ,zanzibar hakuna madharaMko salama humu?
Nauliza, hivi kwa mwanaume kulala uchi wa mnyama kila siku ilihali huna mke ni sawa?
Kuna jamaa angu kaniuliza hili swali nimeshindwa cha kumjibu.
Tubadilishie avatar yako tafadhali.Mwanaume unalala uchi wa mnyama na hujaoa ili iweje?
MANENO ya maskini akiwa hana PESA husema akipata hatonunua gari, naanzaje kulala na bukta NB nakutania TU usije waza sàanaHata nikioa siwezi lala bila kabukta
Siwezi lala bila kangua ata iwejeMANENO ya maskini akiwa hana PESA husema akipata hatonunua gari, unayajua matrako ya dada Ako yalivyo mazuri na makubwa naanzaje kulala na bukta NB nakutania TU usije waza sàana
Kwa nini mkuu?Tubadilishie avatar yako tafadhali.
Unayakumbatia kwa nyuma eti eehMANENO ya maskini akiwa hana PESA husema akipata hatonunua gari, unayajua matrako ya dada Ako yalivyo mazuri na makubwa naanzaje kulala na bukta NB nakutania TU usije waza sàana
Una MKE mkuu Wacha wewe, siku unalala na ngu ni ZILE siku Tano TU mzunguko.Siwezi lala bila kangua ata iweje