Hivi kwa nchi kama Kenya wachina wananunua nini?

BestOfMyKind

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
1,350
Reaction score
1,464
Tanzania kuna madini ambayo mchina anaweza kwenda kutumia kama ghafi.
Kenya wana nini? Hii biashara na mchina watafanyaje?
Kahawa wachina hawanywi, chai ndo vinara wa kuzalisha.
Au watanunua nchi maana nimemsikia his Excellency anasema the land he supposedly got illegally has been his even before he was born and before independence.
Are pingli-nywee and Co returning to chains?
Just asking
 
Nenda kafanye research ya China's $900 Billion silk road project...ndio utaelewa umuhimu wa projects zinazoendelea Kenya kwa hisani ya Beijing
AIIB-silk-road.jpg
 
Jibu swali acha pang'ang'a mob

Sent using Jamii Forums mobile app
sio lazima Kenya iwe inauzia Beijing bidhaa aina flani ndio tuwe na business relationship nzuri baina yetu...kuwa tu shipping and logistics hub inatosha sisi kufanikiwa toka kwa hiyo silk road project amabayo italeta nchi kubwa kubwa pamoja kibiashara...nchi kama singapore zimeendelea hivyo...ila pengine nijibu swali tu, China buys black tea, coffee, and leather from Kenya
 
Hivi Kenya mna shipping lines au mtapata tozo kutoka kwa makampuni ya China? Hizo products za leather mnauza kiasi gani maana Kenya mnapata tabu kujilisha sasa hio mifugo mnailisha nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania kuna madini ambayo mchina anaweza kwenda kutumia kama ghafi.
Kenya wana nini? Hii biashara na mchina watafanyaje?
Kahawa wachina hawanywi, chai ndo vinara wa kuzalisha.
Au watanunua nchi maana nimemsikia his Excellency anasema the land he supposedly got illegally has been his even before he was born and before independence.
Are pingli-nywee and Co returning to chains?
Just asking
Madini ziko Tanzania but headquarters itakua Nairobi kwa biashara yote
 
Hivi Kenya mna shipping lines au mtapata tozo kutoka kwa makampuni ya China? Hizo products za leather mnauza kiasi gani maana Kenya mnapata tabu kujilisha sasa hio mifugo mnailisha nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya tunapata taabu kujilisha, mbona hatujawahi kufa? Mbona nina nguvu ya kutype ujumbe huu?
 
Usifanya mchezo na githeri, inaweza kukujaza tumbo kwa siku tatu mpaka tano.
 
Hili swali lililobeba mada hii, linakosa majibu. Eti wakenya, Mchina ana nunua nini Kenya.
 
Back
Top Bottom