BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
Jibu swali acha pang'ang'a mobNenda kafanye research ya China's $900 Billion silk road project...ndio utaelewa umuhimu wa projects zinazoendelea Kenya kwa hisani ya Beijing
sio lazima Kenya iwe inauzia Beijing bidhaa aina flani ndio tuwe na business relationship nzuri baina yetu...kuwa tu shipping and logistics hub inatosha sisi kufanikiwa toka kwa hiyo silk road project amabayo italeta nchi kubwa kubwa pamoja kibiashara...nchi kama singapore zimeendelea hivyo...ila pengine nijibu swali tu, China buys black tea, coffee, and leather from Kenya
Hivi Kenya mna shipping lines au mtapata tozo kutoka kwa makampuni ya China? Hizo products za leather mnauza kiasi gani maana Kenya mnapata tabu kujilisha sasa hio mifugo mnailisha nini?sio lazima Kenya iwe inauzia Beijing bidhaa aina flani ndio tuwe na business relationship nzuri baina yetu...kuwa tu shipping and logistics hub inatosha sisi kufanikiwa toka kwa hiyo silk road project amabayo italeta nchi kubwa kubwa pamoja kibiashara...nchi kama singapore zimeendelea hivyo...ila pengine nijibu swali tu, China buys black tea, coffee, and leather from Kenya
Madini ziko Tanzania but headquarters itakua Nairobi kwa biashara yoteTanzania kuna madini ambayo mchina anaweza kwenda kutumia kama ghafi.
Kenya wana nini? Hii biashara na mchina watafanyaje?
Kahawa wachina hawanywi, chai ndo vinara wa kuzalisha.
Au watanunua nchi maana nimemsikia his Excellency anasema the land he supposedly got illegally has been his even before he was born and before independence.
Are pingli-nywee and Co returning to chains?
Just asking
Mapere huna hojaMadini ziko Tanzania but headquarters itakua Nairobi kwa biashara yote
Kenya tunapata taabu kujilisha, mbona hatujawahi kufa? Mbona nina nguvu ya kutype ujumbe huu?Hivi Kenya mna shipping lines au mtapata tozo kutoka kwa makampuni ya China? Hizo products za leather mnauza kiasi gani maana Kenya mnapata tabu kujilisha sasa hio mifugo mnailisha nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe selfish kwa kujiangalia wewe tuKenya tunapata taabu kujilisha, mbona hatuwahi kufa?
Kenya tunapata taabu kujilisha, mbona hatujawahi kufa? Mbona nina nguvu ya kutype ujumbe huu?
Baada ya kukandamiza makande umeshasahau tabu na njaa za siku zoteKenya tunapata taabu kujilisha, mbona hatujawahi kufa? Mbona nina nguvu ya kutype ujumbe huu?
You mean wachina wakinunua Kenya wataifanya hub yao ya Africa eti?Madini ziko Tanzania but headquarters itakua Nairobi kwa biashara yote
That is to be more precisely, πππYou mean wachina wakinunua Kenya wataifanya hub yao ya Africa eti?
Usifanya mchezo na githeri, inaweza kukujaza tumbo kwa siku tatu mpaka tano.Kenya tunapata taabu kujilisha, mbona hatujawahi kufa? Mbona nina nguvu ya kutype ujumbe huu?