Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Ndugu Mbowe ni mwenyekiti wa Chadema, ndiye kiongozi wa ngazi ya juu zaidi wa chama hicho.
Kama ilivyoada kwa kiongozi yeye ndiye kama baba wa familia, ana wajibu wa kujali usitawi wa makada wake, kuwalinda na kuwatetea na kuwafariji.
Hata hivyo huwa nashangazwa na Mbowe ambaye yeye kama mfariji mkuu wa wanachadema huwa haonyeshi Consitence ya kutosha na Pressure ya kutosha kuwadai makada wake waliotekwa na kupotezwa!.
Hebu fikiria ishu ya Deusdedith Soka. Baada ya Soka kutekwa, Mbowe aliitisha press conference akataja hadi maaskari waliohusika kumteka Soka. Lakini toka hapo hajawahi kuonyesha consistence ya kutosha ya kupiga presha ya kutosha ya kisiasa kumdai Soka na wenzie.
Hili jambo linaleta walakini hasa ukizingatia Mbowe katika press conference hiyo alisema wazi kuwa ANA UWEZO WA KUITISHA CIVIL DISOBEDIENCE kama njia ya kushinikiza haya mambo yakome. Nashangaa Mbowe kumbe kitu cha kufanya hadi kuhakikisha Soka na wenzie wanapatikana anakijua lakini yeye hafanyi hivi.
1. Sasa mtu ambaye makada wake wanatekwa na kupotezwa yeye yupo yupo tu ameng'aang'aa macho.
2. Mtu ambaye Kuna madai msaidizi wake alitekwa na kuuawa (Ben Saanane), Lakini yeye yupo tu hapigi presha uchunguzi ufanyike na haki ya familia ya msaidizi wake ipatikane.
3. Mtu ambaye CCM inawachezea rafu na magumashi kibao katika chaguzi, halafu yeye yupoyupo tu, na wala haonyeshi zeal au uwezo wa kuinvoke peoples power.
Huyu Mwenyekiti dhaifu na legelege anafaaje kuendelea kukalia nafasi hiyo?
Mwamba siyo mwamba tena tunayemjua, keshageuka tofali lenye upungufu wa simenti, hamna kitu tena hapo. Aachie ngazi tu.