Hivi kwa nini Mbowe huwa hapigi amshaamsha ya kutosha kuwadai wanachadema wanaotekwa na kupotezwa?

Wanadaiio amelamba asaliiiii.....
 
Hata lisu hataweza kuwaokoa wanaotekwa zaidi ya kubwabwaja
 
Jibu ni hili, toka mbowe atoke jela na kwenda home kuoga kisha fasta kwenda ikulu siku hiyo ndio ilikuwa rasmi kwake kuyaaga mapambano ya chadema dhidi ya ccm na hususani mama abdul!!!.
Kwenda ikulu kwa mwaliko wa rais ndiko kunamfanya lisu awe mwehu maana ikulu atausikia tu
 
Nazipenda sana mbio za mende, ila ananichukiza akienda kwenye mauchafu halafu anakula chakula changu, mdudu huyu waajabu ukilala haingii mdomoni unapokuwa umelala fofo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…