Hivi kwa nini mchicha unakolea chumvi kuliko mboga nyingine za majani?

Hivi kwa nini mchicha unakolea chumvi kuliko mboga nyingine za majani?

Mchicha hua unakolea nazi. Au umesahau hili songi

Chi chi chi chicha limekolea nazi...

Chi chi chi chicha limekolea nazi...

Chi chi chi chicha limekolea nazi...
 
Mi nilipika mwenyewe lile la kigeto geto
Mchicha hua unakolea nazi. Au umesahau hili songi

Chi chi chi chicha limekolea nazi...

Chi chi chi chicha limekolea nazi...

Chi chi chi chicha limekolea nazi...
 
Yaani chumvi kali sana ndo maana nikaenda kununua samaki
Ukiwa na njaa halisi kwamaana ya njaa akili ya kumwaga au kutupa jalalani haipo, isipokuwa ukiwa umeshiba tu.
 
Wakati unaweka chumvi ilikuwa haijanywea so ulikosea kukadiria.

Katika upishi wangu wote huwa chumvi sizidishagi mara nyingi hupungua. Me ni heri ipungue aisee nitaongeza. Na huwa sionjagi wakati wa kupika.
 
Mchicha kwa kiasi kikubwa una madini ya 'Sodium' ambayo huupa mchicha ladha ya chumvi chumvi.

Kwahiyo ukiupika na kuweka chumvi nyingi, utashindwa kuula.

Siku nyingine ukizidisha chumvi, labda ufanye Dilution ili kupunguza Concentration ya chumvi ndipo ule mboga yako.
 
Kweli maana hata sikuukata kata niliunyofoa nyofoa kwa mikono baada ya kuuosha nikaweka kwenye sufuria
Wakati unaweka chumvi ilikuwa haijanywea so ulikosea kukadiria.

Katika upishi wangu wote huwa chumvi sizidishagi mara nyingi hupungua. Me ni heri ipungue aisee nitaongeza. Na huwa sionjagi wakati wa kupika.
 
Asnte mkuu
Mchicha kwa kiasi kikubwa una madini ya 'Sodium' ambayo huupa mchicha ladha ya chumvi chumvi.

Kwahiyo ukiupika na kuweka chumvi nyingi, utashindwa kuula.

Siku nyingine ukizidisha chumvi, labda ufanye Dilution ili kupunduza Concentration ya chumvi ndipo ule mboga yako.
 
Itakuwa ushavuta hiyo kwenye dp yako
.
9271112_91315348442497tmpcam6287748322739729616jpeg5d7a3d0631fe19eff8e1c7346a382940jpegf3d19b...jpeg
 
Jiulize kwann viazi mviringo vinachelewa kukolea chumvi
Yaani imenibidi nikanunue dagaa mchele nirumangie na ugali wangu; hii ni baada ya kunyunyizia chumvi kiduchu tu lakini nimeharibu mboga yangu hivi hivi imebidi nikamwage.
 
Ungedilute tu,unaongeza maji,kisha unawekamo nyama ya kuku na viazi ulaya viwili vitatu,chumvi ingejibalance tu
 
Akili yangu ilisoma mchicha mwiba....
 
Back
Top Bottom