Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka waiweke tofauti ili uishutukie..Ni ile nyeuoe pee laini kama unga
Wakati unaweka chumvi ilikuwa haijanywea so ulikosea kukadiria.
Katika upishi wangu wote huwa chumvi sizidishagi mara nyingi hupungua. Me ni heri ipungue aisee nitaongeza. Na huwa sionjagi wakati wa kupika.
Mchicha kwa kiasi kikubwa una madini ya 'Sodium' ambayo huupa mchicha ladha ya chumvi chumvi.
Kwahiyo ukiupika na kuweka chumvi nyingi, utashindwa kuula.
Siku nyingine ukizidisha chumvi, labda ufanye Dilution ili kupunduza Concentration ya chumvi ndipo ule mboga yako.
.Itakuwa ushavuta hiyo kwenye dp yako
Yaani imenibidi nikanunue dagaa mchele nirumangie na ugali wangu; hii ni baada ya kunyunyizia chumvi kiduchu tu lakini nimeharibu mboga yangu hivi hivi imebidi nikamwage.