Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
una miaka mingapi?Duuuuh kweli maisha magumu
Sijaelewa.Tutoler
Bakia hapo hapoimani chakavu...
Sweet cherriesSijaelewa.
Bujubuji una nini mdogo wangu leo mbona sikuelewi?Sweet cherries
Soko ShugiBujubuji una nini mdogo wangu leo mbona sikuelewi?
Eti wandugu eti kwa nini paka akiuliwa na mtu mzima huyo mtu maisha yake yanaharibika na kuwa mabovu sana?
Kila unachopanga kina haribika.Ugumu wa vipi labda,kukosa pesa au!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Fanya Kazi huo umasikini wako uliokutukuka haujaletwa na Paka bali umetokana na Upumbavu wako uliokukithiri na ambao utakufa nao vile vile.