Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuuuh kweli maisha magumu
wewe kama wewe huwezi kujijua waulize watu wako wa karibu.Me paka alikula mboga yng aisee nilimuua vibaya sana na saiz niko njema sana lbd mbelen huko
😀😀wewe kama wewe huwezi kujijua waulize watu wako wa karibu.
[emoji23] [emoji23]Wewe ulimuua?
Kama jibu ni ndiyo, naona kuna dalili za Ukweli kabisa.
wewe hujawai kuua paka?[emoji23] [emoji23]
Nami namngoja atudadavulie@ Mshana Jr
Umenikumbusha hiyo muvi ya huyo jamaa nimeicheki ktambo.Soko Shugi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ulimuua?
Kama jibu ni ndiyo, naona kuna dalili za Ukweli kabisa.
Uswahili mwingiHaya ni mambo ya Dunia ya tatu si rahisi kuyaelewa hivihivi mpaka wajuvi wa mambo wakufunze ,,,,,,ni sawa na kuruka na ungo ,,sasa jiulize ungo una machine ipi mpaka ikuwezeshe kupaa?
Huyo jirani ni mimi mkuu.. Mapaka yanalia kama watu bhana..Dah nilivyokuwa mdogo nilimsindikiza mwenzangu alikamata paka kwenda kumpelekea manyaunyau tukapewa 5000 kwa paka mmoja
RIP paka yule
Halafu hapa mitaa ya home kuna mipaka inakera usiku na mikelele ,jiraji yetu alitaka awawekee sumu nikamkataza