Hivi kwa nini mtu mzima akiua paka maisha yake yanakuwa mabovu sana

Kwa nini umwue paka wa watu??

Hata kama kakukosea, kwa nini umwue.

Hebu fikiria, paka anahitaji kuishi we unamwua kisa kala kifaranga au mboga.

Ukipatwa na laana sioni shida coz damu ya mnyama paka ni damu pia kama ilivyo ya mwanadamu
 
Me paka alikula mboga yng aisee nilimuua vibaya sana na saiz niko njema sana lbd mbelen huko
 
Viroba si vimepigwa marufuku jamani!!
Wenzetu mnavitoa wapi!!??
 
Paka tumekatazwa asiuliwe kama tulivyokatazwa sisimizi asiuliwe, kwa mujibu wa dini yangu ya kiislam
Na ukimuua paka unapata dhambi
 
Kulingana na Imani yangu, hakuna dhambi wala hatia atakayohesabiwa mtu kwa kuua mnyama awaye yote; wa kufugwa ama wa porini. Hawa wote ni halali yetu kuwamiliki na kuwatawala. Imani zingine ni kama hiyo ya kwako. Na kama unaamini hivo kwamba ukimuua paka au ndege fulani utapata laana, hakika utapata majbu yake. Lucifer hapotezagi nafasi kwenye mambo kama haya ili watu waendelee kumwamini na kumwabudu. Mambo ya Mungu halisi na Lucifer yote yako ktk ulimwengu wa tatu sasa ni wewe kuchagua utaamini lipi.
 
U
Haya ni mambo ya Dunia ya tatu si rahisi kuyaelewa hivihivi mpaka wajuvi wa mambo wakufunze ,,,,,,ni sawa na kuruka na ungo ,,sasa jiulize ungo una machine ipi mpaka ikuwezeshe kupaa?
Uswahili mwingi
 
Dah nilivyokuwa mdogo nilimsindikiza mwenzangu alikamata paka kwenda kumpelekea manyaunyau tukapewa 5000 kwa paka mmoja

RIP paka yule

Halafu hapa mitaa ya home kuna mipaka inakera usiku na mikelele ,jiraji yetu alitaka awawekee sumu nikamkataza
Huyo jirani ni mimi mkuu.. Mapaka yanalia kama watu bhana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…