Hivi kwa nini mtu unakopa nguo viatu pesa hurudishi?

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,892
Nimeingizwa mkenge.nisaidieni nifanyeje ili watu walete pesa jamani.number Za simu wanebadilisha
 
anakopa au ana azima!!maana umeongea habari ya kurudisha kwa hiyo ulimu(wa)azima?
 
Kuna Mtu anayekopa na kuna Wauzaji wengine wanalazimisha mtu ukope sasa hao wanaolazimishwa kulipa kwao ni mgogoro usitegemee sana....

Tafuta kitabu kinachoitwa Rule of Life Kitakusaidia Kuishi
 
Naishi USA biashara bongo
hapo sasa ndo shughuri ilipo!! Natalia wabongo wa leo si wale wa enzi za mwalimu!!uaminifu zero hasa wakijua huwezi kuwakamatia home au ofcn inakuwa ngumu!!!anyway lets assume wako busy one day watakutafuta!!
 
Last edited by a moderator:
Utafanyaje biashara kwa kukopesha!,mimi hii practice ya kibongobongo naipinga sana,wafatilie lakini inaweza kuwa ndo imekula kwako,next time usikopeshe.

Nothing comes to a sleeping man but dreams-Tupac Shakur
 
Natalia unataka tukusaidie kivipi wakati miamala ya biashara mliifanya wakati sisi hatukuwepo! kama ulimkopesha kwa kigezo cha kufahamiana bila kuwa na hati za makubaliano ya kibiashara basi imekula kwako mama. ulipasa uwe na physical address za wateja wako, pia uwe na ajenti wako huku Bongo wa kufuatilia madeni yao. namba za simu za mikononi sio reliable hata kidogo maana any time mtu anabadili line ya simu. Sasa wewe kuishi kwako USA kwa Obama bado unafanya biashara za hivyo! du..pole!
 
Wabongo hawakopeshwi Natalia, ukiwakopesha imekula kwako. Wako watu wengi sana waliojaribu biashara kama yako wakashindwa, ni kimeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…