Hivi kwa nini staff wa kiume wanaofanyia kazi bank wanashobokewa sana na totoz hapa mjini?

Tupe majina yao na branch zao.
Isije ikawa unaongea tu ili kuondoa ngoma juani
 
Jamani,nina washikaji zangu kama wanne hivi hapa mjini,wote ni tellers Nmb,fnb na crdb ebana hawa jamaa wanatafuna warembo hapa town mpaka me nawaonea wivu..yani hawajaoa ila kila siku wana uhakika wa kula maku walau moja.hivi ni nin kinawavutia hawa wanawake kwa hawa washkaji akati mwonekano wao wa kawaida tu?

Mkono mtupu haulambwi
 
Kuna thread nafikiri ya mwanadada humu jf inajibu swali lako.
 
Hao wanawake hua hawajui tu kina nani wa kuwapa maisha,wanawafata jamaa kwa kubabaika na kufanya kazi bank lakini hawana kitu zaidi ya madeni na ubishoo tu,usitishike mtoa mada,ukiwataka wadada pia jaribu kua dereva wa mashirika au taxi driver in town city na uwe mpiga pamba uone!
 
Mbona hao watu ni wajinga sana na Zaidi Ya ubishooo hawana jipya, hao wadada wana chukuliwa ki rahisi sababu wanapenda kujishaua, wakifika bank Wanataka hudumaa haraka ndio matokeo Yake wana chukuliwa kama chips mayai..
 
Mbona mimi dereva wa tank-la mafta.Kuanzia
-Dar to mbeya
-Dar to A.town
-Dar to bk
-Dar to mtwara
-Dar to kigoma
-Dar to n.k
nina mademu kibao tu na huko kote napanda mbegu.Bank Taller kitu gani,kama Ac ata semi langu linayo tu,tena full music nalipuka machen kama mbele kwa ob-USA-River.
 
Jitaharishe kuwahudumia wakishaukwaa usije ukawanyanyapaa bure hapo mbeleni na nyota zao za ukimwi
 
Mbona hata sisi tunaouza chipsi tunashobokewa tu

hahaaha waambie mkuu nimeipend. unajua wanawake wa hivo limbukeni kwani akifany kazi benk ndo pesa zake? na wanawake wengi wa hivo ni wale wasotak kujishughulish lkn kwa mtu unayepiga mishe zako hat shobo nao unakuwa huna.....
 
Jamani,nina washikaji zangu kama wanne hivi hapa mjini,wote ni tellers Nmb,fnb na crdb ebana hawa jamaa wanatafuna warembo hapa town mpaka me nawaonea wivu..yani hawajaoa ila kila siku wana uhakika wa kula maku walau moja.hivi ni nin kinawavutia hawa wanawake kwa hawa washkaji akati mwonekano wao wa kawaida tu?

Kijana mbona c watu wa bank... Mie mwenyewe kazi yangu hii ya kuwapaka rangi za kucha mademu zinanifanya wananishobokea balaa
 
Koz wanawake wanadhani wote ni mameneja ooohh kumbe wengne ma tailor tuu na dough wanaishia kuziona nyingi na sio kuwa nazo may be kwa njia fupi...!
 
hawachelewagi kukimbia town mishe za kuchokonoa a/c zetu zinapobumburukiwa!
 
Jamani,nina washikaji zangu kama wanne hivi hapa mjini,wote ni tellers Nmb,fnb na crdb ebana hawa jamaa wanatafuna warembo hapa town mpaka me nawaonea wivu..yani hawajaoa ila kila siku wana uhakika wa kula maku walau moja.hivi ni nin kinawavutia hawa wanawake kwa hawa washkaji akati mwonekano wao wa kawaida tu?
Utakua ushamba wa wanaua tu...

BTW, naskia hao vijana wa mabenki ndio wanaongoza kwa kuwa michicha miba
 
Back
Top Bottom