ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,490
- 8,305
Hahahaha usipovuta ya njombe haukuiJamani vijana wengi wanavuta bange balaa.
Kwani usipovuta hukui? Halafu baadae wanajifanya eti ni kharam,sijui huwa wanaacha?
Serikali iko wapi maana vijiwe vinajulikana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani ina shida?
Naongezea anawashwa wapi huyo mtoa mada si avute na yeye, anaona tunafaidi sana au??Unateseka na nini mkuu?
Asante kwa kuwa mkweli,ninatafuta kupanua soko la hii bizines yangu. Puri moja ni jero,vp unataka?Naongezea anawashwa wapi huyo mtoa mada si avute na yeye, anaona tunafaidi sana au??
Njoo tuvute🌿🌿🌿Jamani vijana wengi wanavuta bange balaa.
Kwani usipovuta hukui? Halafu baadae wanajifanya eti ni kharam,sijui huwa wanaacha?
Serikali iko wapi maana vijiwe vinajulikana.
Mdau anatangaza vita na mjani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]