Hivi kwa nini UVCCM wanatumia salamu za kijeshi

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,220
Hawa jamaa kwenye mambo yao mengi naona wanatumia salamu za kijeshi.

I am curious to understand, je hawa jamaa ni wanajeshi kamili na hayo mamlaka wameyatoa wapi?
 
Attachments

  • Screenshot_20250402_210142_Facebook.jpg
    Screenshot_20250402_210142_Facebook.jpg
    106.8 KB · Views: 20
Hawa jamaa kwenye mambo yao mengi naona wanatumia salamu za kijeshi.

I am curious to understand, je hawa jamaa ni wanajeshi kamili na hayo mamlaka wameyatoa wapi?
Hawaruhusiwi kabisa, ila vile wahusika wanawachekea
 
Kuna UVCCM halafu kuna SCOUTS hawa vijana huwa napata ukakasi niwaweke kwenye kundi gani maana ni wajeshi pure. Huwa najiuliza kwa nini inakuwa hivyo sijawahi pata majibu labda leo
 
Hawa jamaa kwenye mambo yao mengi naona wanatumia salamu za kijeshi.

I am curious to understand, je hawa jamaa ni wanajeshi kamili na hayo mamlaka wameyatoa wapi?
UKIWAULIZA WATAKWAMBIA NI ISHARA YA UKAKAMAVU 🤣
 
Back
Top Bottom