Hivi kwa nini vitu vingi vinavyoanza na herufi "K" ni vitamu sana?

Hivi kwa nini vitu vingi vinavyoanza na herufi "K" ni vitamu sana?

mkuu hii KULALA yanii ni nouma akina Samsoni daudi kwenye ze baibo walishindwa kuvumilia kabisa licha ya miguvu yao ya ajab lakini wakanywea na kuwa wadogo kama piriton na kumbuka walikuwa wanaongea na Mungu uso kwa uso kupitia manabii watakatifu. Sasa je sisi kizazi cha ngeseki eti manabii wetu ni akina gwajima na mzee wa upako si ndio hopeless kabisa mbele ya hii makitu
Hahahahahaha asante sana kwa kunichekesha sana jioni hii
 
Ebwana wana JF mzuka!

Kila mara huwa najiuliza hivi kwa nini vitu vingi vinavyoanza na herufi K ni vitamu sana mfano kalmati, kachumbari, keki, kitumbua kuku.

Naaaaaammmm na hii ndio tamu kuliko vyote acheni mungu aitwe mungu. Ebu yaangalie yalivyokodoa mimacho huku mapigo ya moyo yakienda kasi ya ajab huku yakiendelea kusoma kwa shauku kujua ni nini. Si maanishi iyo makitu bhana. Namaanisha KULALA!!!😡😡😡😡😡😡😡

Dah Poleni sana wadau!😛
Usiku mwema😱


Na wewe kwa uwongo? Mbona Jamii Forum haina herufi ya K lakini tamu shinda K...lenyewe, na iko addictive katika kila style uitakayo kwani inakuballika kitandani, mtaani, ndani ya dala dala, kazini, chooni, upende usipende lazima utaperuzi tu ili upate uhondo murua.
 
Back
Top Bottom