Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
[emoji23][emoji23][emoji23] Hilo nalo neno!Haya maisha yetu tu ni ngumi tosha. Tushakuwa sugu.
Ivo yaanHaya maisha yetu tu ni ngumi tosha. Tushakuwa sugu.
Mkuu hujaangalia kwenye maombolezo ya Mzee Lowasa!?ili swali najiuliza sana yani ukilinganisha na wenzetu ambao sio asili ya afrika.unaweza kumpiga mzungu ngumi tatu za kutosha muda sio punde kazimia.
ila huku kwetu mwizi anatandikwa na wananchi kama mia lakini bado yupo tu.kipondo cha FFU,polisi au wajeda lakini bado hupo tu.
au tuna nguvu za ajabu
huyo mleviMkuu hujaangalia kwenye maombolezo ya Mzee Lowasa!?
Na ukizima ndo hauwaki tenaili swali najiuliza sana yani ukilinganisha na wenzetu ambao sio asili ya afrika.unaweza kumpiga mzungu ngumi tatu za kutosha muda sio punde kazimia.
ila huku kwetu mwizi anatandikwa na wananchi kama mia lakini bado yupo tu.kipondo cha FFU,polisi au wajeda lakini bado hupo tu.
au tuna nguvu za ajabu